Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,121
- 31,383
Mbona hawa mbwaa kipindi cha JPM walianza kujitaidi kuwa wasafi hadi kuweka vitofari kwenye njia za watembea kwa miguu na kujenga vistendi vya basi angarau vinapendeza ila sasa mambo yamebadilika wamerudi kwenye uchafu wa kutisha Tony254 MK254 ,komora096 NicxieSave Nairobi from the chronic stinking [emoji28][emoji28][emoji28]