Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah! Ila Putin hii vita imemuonyesha jinsi alivyo dhaifu kutoka siku 3 hadi miezi 5,vita si mchezo na jeshi si lelemama wasemavyo jeshini. [emoji3][emoji3][emoji3]
Sio kwamba wanaomchngia Ukraine ndio dhaifu?
 
to hell
FB_IMG_1658279268192.jpg
 
kumbe pia bongo kuna marastafari.. !🤔

hawa mafala nadhani wameanza tu copy polepole.... hii ni tabia hasa ya wakenya manati.. hasa toka dandora na kangemi massive

wajahkoya and king sellasie, i and i..
jah rastafari✊🏽✊🏽
 
 
We jamaa fala kweli, urastafari umeanzia kunyaland?
kwani haujui Jomo Kenyatta is one of the Messiahs apart from Haile Sellasie.. ata nenda Kingston Jomieca sshvi ukaulizie.. pale ata kuna Kenyatta Avenue, ata mwana wa Joseph Hill anaitwa Kenyatta Hill.. etc

ie. in jomieca, only kenya and ethiopia are taken as "holyland, a land far away, far in the east"
Screenshot_20220720-052048_Chrome.jpg
 
kwani haujui Jomo Kenyatta is one of the messiahs . nenda kingston jomieca ukaulizie.. pale ata kuna kenyatta avenue, ata mwana wa Joseph Hill anaitwa Kenyatta Hill.. etc
Hahahaha Tanzania urastafari upo hata kabla ya kunyata kwanza mataifa ya kirastafari ni socialists kama hujui

Moja ya ngoma kali ya kirastafari kutoka bongo ya enzi hizo

 
kumbe pia bongo kuna marastafari.. ![emoji848]

hawa mafala nadhani wameanza tu copy polepole.... hii ni tabia hasa ya wakenya manati.. wraping dandora and kangemi massive

wajahkoya and king sellasie, i and i..
jah rastafari[emoji1421][emoji1421]
Naona ukosefu wa chakula na njaa umekufanya uwe kichaa, kwani huo utamaduni umeanzia Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya bhuanaaa 😀😀😀😀
Baada ya Tanzania kupata loan IMF kwa mgongo COVID-19 na Russia/ Ukrain war na wenyewe wameamua wapite mule mule 😀😀😀😀
Wamechukua mkopo kugharamia ugali kwa mwezi mmja wa uchaguzi baada ya hapo kilio kinarudi kule kule 😆😆😆😆
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-153038.png
    Screenshot_20220719-153038.png
    168.8 KB · Views: 15
Kwahiyo hapa Tony tumsubirie Putin kuwafurumushia mabomu maana alisema wakijoin NATO watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]
nikama russia wanaweza ata piga nato. russia wana zana nyingi za kinuklia ata kuzidi nato🤔 cc Tony
💣💣💣................ 💥
 
27000 ilianza Toka REA ilipoanza kusambaza umeme vijijini chini ya fedha MCC chini ya Profesa Muhongo
Umeniongezea point mkuu,Hawa tumbili wa Mwendazake walikuwa wanajigamba kwamba Mtu wao ndio alianzisha..

Serikali iharakishe kujenga makumbusho ya Marais Ili kuweka rekodi sawa
 
Kunyaland wanakoelekea ni kufilisika..😬😬

GDP ya makaratasi inashindwa kufadhili Ugali na mafuta 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-153628.png
    Screenshot_20220719-153628.png
    136.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220719-153038.png
    Screenshot_20220719-153038.png
    168.8 KB · Views: 15
Uchumi Unapata kote kote,Bara na Visiwani 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-154503.png
    Screenshot_20220719-154503.png
    119.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220719-154443.png
    Screenshot_20220719-154443.png
    76.7 KB · Views: 18
Tunaendelea na harakati za kufanya mageuzi makubwa ya sekta ya kilimo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-115602.png
    Screenshot_20220719-115602.png
    102 KB · Views: 16
Back
Top Bottom