Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,732
- 107,179
Ni sehemu ya kuonesha utalii.......mara moja moja sio mbaya mkuuFarasi wanaharibu barabara kama ng'ombe mbona wanaruhusiwa?
Kama anataka kuwapiga angewapiga saa hii kabla hawajajoin NATO. Wakishajoin NATO hawezi kuwagusa kwa sababu ya article 5 ya NATO. Natumai unafahamu article 5 ya NATO inasemaje?Kwahiyo hapa Tony tumsubirie Putin kuwafurumushia mabomu maana alisema wakijoin NATO watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vipicha vyote umeweka ndio vipicha hivi hivi mnavizungusha zungusha but kinachowaumbua ni hivyo vijengo lazima vionekane. Alafu hivyo vipicha vyote vinatokea hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Battle ifungwe., lazybones wamebaki tu na BRT.., Dar can't level with Nairobi.,
Nje ya CBD yao moja haupati such [emoji116] [emoji116] development and Skyline, hakuna!...,
Upper Hill Business District.,
View attachment 2296181
Westlands Business District..,
View attachment 2296185
View attachment 2296190
Msosi umekamilika kasoro mboga moja tu hapo hiyo ya katikati ndio huwa sigusi. Ila ni kitu konki sana, nchi ya neema hii [emoji39][emoji39][emoji2956][emoji2956]
Kwn mashindano ya nn mbona sielewi naona mnaongelea mbio mbona sielewi.Faith Kipyegon is the first woman to win four 1500M world championship medals.
Beijing '15 [emoji1627]
London '17 [emoji1628]
Doha '19 [emoji1627]
Oregon '22 [emoji1628]
G.O.A.T
View attachment 2296233
Kenya sasa ni ya tatu kwa medal standings
View attachment 2296234
Wewe shida yako haupo open minded kama hawa wenzako,wanazungumza wazi kuwa tumewazidi sasa wewe endelea kukaza fuvu 👇👇Wakenya wengi ni akina nani? nani aliwaaminisha? 😂 😂 😂 😂 kwa vile nimeijua Tanzania sana kupitia jamii forums.., porojo wacheni, facts ziko wazi sana, hamudanganyi watu dunia ya leo, eti waliaminishwa.., weka proof hapa.., yaani mwalimu aonge kuhusu Tanzania shuleni? wapi? lini? Kenya ipi hiyo? apart from historia ya Kinjekitile na Nyerere etc nothing about Tanzania whether ni nchi tajiri ama masikini, so wacheni uongo, hii ni wivu na wishful thinking, blind patriotism tu😂😂😂😂😂😂😂., kwanza kuhusu Nyerere I knew him on a positive light, so hizi porojo zenu mnaziokota wapi na nyie ni fukara, nchi ya watu wengi pato kidogo, mko na city moja yenye CBD moja, less tarmacked roads than Kenya, Uchumi hafifu ama na hizi tumeaminishwa?.., Kinjekitile Jr porojo rudisha vijiweni.., 😂😂😂😂
Hapo hawataji EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni Mkenya au ni "East African?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tofautisha sasa na hii👇👇 na iko kwa karibu ukilinganisha na hiyo ya Kenya.., tulieni na Mombasa, tusisumbuane😂😂😂😂Hivi vipicha vyote umeweka ndio vipicha hivi hivi mnavizungusha zungusha but kinachowaumbua ni hivyo vijengo lazima vionekane. Alafu hivyo vipicha vyote vinatokea hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2296622
Sawa mkuu, mimi ni wa St. Kayumba 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂DON wewe huwezi kujua kwasbabu shule ulisomea Tanzania, wenzio waliosomea Keny ndio walikuwa wakiambiwa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua st kayumba ni zaidi ya hizo shule zenu za hapo machakos usingekuwa unaropokaSawa mkuu, mimi ni wa St. Kayumba 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
We unamsikiliza huyo kubwa jinga?Aiseee, Kwanini waliamua kufanya hivyo?
Mikataba inabidi iwe vizuri.
Kule KIKAGATI kulikuwa na kitu kama hiki Idd Amin akakilipua, sijui kama kilikuwa kinamilikiwa na nchi zote maana umeme ulikuwa unapatikana pia Tanzania.
Sasa hivi wameamua kurejesha uzalishaji wa umeme, bado sijajua kama kuna mashirikiano na Tanzania.
Tanzania tunaijua, nenda ukadanganye wenzako wa vijiweni na vihadithi uchwara ujifurahishe kilaza, uko uchi sana, nakuona kwa umbali 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Ungejua st kayumba ni zaidi ya hizo shule zenu za hapo machakos usingekuwa unaropoka
MY TAKE
Mwendazake alikuwa anachukua halafu anapita kudai pesa zetu!
Na govi lake atakua mumeo unavyomgombania kimahaba! Kakuharibu sana mpaka huskii huambiwi kuhusu madudu yake!Ni za mumeo basi.......happy now😬