Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20220719_133746.jpg
 
Hii derby ya Simba vs Yanga naona saiz kama imeizidi hio ya Tunis Esperance vs Club Africain za Tunisia.. afu na hio ya SA, Orlando vs Kaizer nayo naona kama imekufa.. maybe kwa sababu ya Corona resistriction, mana hawaruhusiwi kuingia uwanjan wengi
Sio saizi.

Africa hakuna derby kama ya Simba na Yanga. Ni hao tu waandishi uchwara toka Kenya wenye hizo account ambao huakikisha lazima watuminye tu!
 
kisha kuna moja alikua analia juzi eti dar na nbi iko kwenye ligi moja.! nenda london ama newyork sshvi, hakuna mtu ata moja kwenye streets anaeweza tambua daresaalam iko pembe gani mwa ulimwenyu huu
Jitahidi kuandika ukiwa umetulia kuna sehemu nyingi unaharibu sarufi ya kiswahili. Ulisema unapenda kukosolewa ili ujifunze kuandika kiswahili kwa ufasaha.

Sijakukosoa kwa ushindani bali uliomba hivyo.

Ulitakiwa uandike hivi.

"Kuna mmoja alikuwa analia juzi eti Dar na Nairobi ziko kwenye ligi moja ...."
 
Mimi nimekupa challenge kwanza uweke skyline ya 10km from Naipori ukishaweka na mimi ndio nitaweka.
Unatafuta njia ya kukwepa😂😂😂😂.., nyie hamuna any other CBD ata 2km away na unabweka humu., 😂 😂 😂 😂
An upcoming skyline 7km away, along Mombasa road.., Emara Ole Sereni area (at Southern Bypass interchange)
1658229375431.png


Dar size yake Mombasa, na sio tafadhali, stick together, mambo ya Nairobi koma, utapata ulcers bure😂😂😂😂😂😂😂
1658229911508.png

1658229977704.png

1658229931536.png

1658229950262.png

1658229962980.png

1658230065190.png

1658230099399.png

1658230205733.png
 
sasa engineer wa mradi si ndo link niliyokupa here! Ila sterling wa magovinda akaona kituo kiwekwe Chato! Ngoja nikuletee nondo nyingine za ukabila wake napendaga ubishi wenu wa kumtetea unanipa nafasi kuelimisha watu marehemu alikuwa mtu gani! Wewe nionyeshe studies za Nile Basin Initiative zilizopendekeza/zilizosema kituo kiwe Geita au Chato!
Sina mda wa kubishana na mtu mwenye ugonjwa wa kusahau nenda hospitali kwanza ukishapona ndo uje tuendelee
 
Hahahaha, who feeds you, always controls you[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Technically ni Kenya inawalisha, tusiponunua kwenu idadi ya watu wenye utapia mlo na stunted growth itazidi kuongezeka, tukinunua mnapata hela angalau mnunue vyakula vingine, sio mihogo kwa maharage tu, nyie ni fukara msio jiweza ni ardhi inawashughulikia kama wanyama pori hivi, siku ile ukame itaingia Tz mnaeza mka angamia karibu nyote, serikali yenu haina misuli ya ku subsidize chakula., ni fukara sana, inakusanya hela kidogo na mko wengi mno., masikini mwenye watoto wengi, nyambaff 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Rwanda, Tanzania, Burundi start construction of Rusumo dam​

The Independent March 30, 2017 AFRICA Leave a comment


Rusumo-dam.jpg



Tanzania, Rwanda and Burundi have launched the construction activities of the regional Rusumo Falls Hydroelectric Project in Ngara, Tanzania.

The project, first conceived two decades back, will when completed deliver a shared hydropower plant with installed capacity of 80 megawatts of renewable, clean, low cost power to benefit the population in the three benefiting countries.

Each of the three countries will receive an additional 26.6 megawatts directly connected to their respective national grid through the transmission lines benefiting over one million people in the three countries.

Prof Sospeter Muhongo, Tanzania’s minister of Energy and Minerals led the groundbreaking ceremony on Thursday by scooping earth with a grader at the construction site.

“This is a historic day for the three countries. We take recognition the Nile Basin Initiative platform and specifically its investment arm, the Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program Coordination Unit (NELSAP-CU), which facilitated and coordinated the countries to move project forward,” said the council of energy ministers of the three countries in a statement.

At the launch, the Council of Ministers in charge of Energy from Burundi, Rwanda and Tanzania for the Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project, were joined by Ministers of Water and Finance from Burundi, Nile Basin Initiative (NBI), World Bank, African Development Bank, African Union and NEPAD delegates.

“We are very delighted today of the fact, the trans-boundary shared Rusumo Falls project has finally come to life, after more than 20 years since it was first identified,” the ministers said in their statement.

NBI-rusumo.jpg


Rusumo-dam-again.jpg


The Rusumo falls is located on the Kagera River on the border between Rwanda (Southeast) and Tanzania (Northwest) and about 25 kilometers downstream of Burundi, Rwanda and Tanzania common border point. The Falls are approximately 15 meters high and 40 meters wide.

The Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project is owned by the three countries through a Special Purpose Vehicle, the Rusumo Power Company Ltd (RPCL) and mandated Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program Coordination Unit (NELSAP-CU) to implement the project on their behalf.

The Construction of the Hydroelectric power plant is funded by the World Bank at a cost $340 million. The project is being constructed by two contractors CGCOC Group and JWHC JV from China for Civil Works and ANDRITZ Hydro from Germany/India for Electro-Mechanical works. The Rusumo Hydropower Project is scheduled to be completed and commissioned by 2020.

Nimemuona Prof.Muhongo kwenye huu mradi, miaka 20 back ndipo uliasisiwa ila ikashindikana ukafanyika kipindi cha Magufuli.

Ahsante kwa taarifa nilikuwa silijui hili.
 
Ukiwa na njaa karibu tule WAKENYA kama jasho lamtu laliwa
Msosi umekamilika kasoro mboga moja tu hapo hiyo ya katikati ndio huwa sigusi. Ila ni kitu konki sana, nchi ya neema hii [emoji39][emoji39][emoji2956][emoji2956]
 
Back
Top Bottom