Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana nilikuwa na Wakenya na mganda mmoja tunapiga story baada ya kuwa tumetoka chimbo mahali.....aiseeh!!! Mkenya mmoja(Mkalenjin) akawa anatuambia kitu ambacho nilitamani kushare nanyi,alisema;

"Unajua kiukweli wakenya wengi tukiwa primary,secondary hadi university,walimu pamoja na lectures walikuwa wanatuaminisha kuwa hapa EA kenya ndio kila kitu,huwezi ukapata vitu vizuri nje ya Nairobi au Kenya ila baada ya Globalization hasa ujio wa social network imetufanya tufahamu kwamba kenya ni kama nchi zingine tu za EA"
nikamuuliza vipi,unaionaje Tanzania ya sasa(maana jamaa katembea sana hapa EA) jamaa akaamua kufunguka;

"To be honest,Tanzania mnapiga hatua kubwa sana kuishinda ata Kenya,mambo mnayo yafanya kenya tunahitaji miaka mingine 30 ndio tuwafikie........Unajua kenya,70% project nyingi zinategemea mikopo kutoka nje na hapo bado corruption inaingia,bora yenu mna commitment ya maendeleo " mwenzake alikuwa anatikisa tu kichwa kuwa anakubaliana na mtoa mada

Ninawasihi wakenya mliomo humu jukwaani jitahidini kuwa wawazi ni sehem moja wapo ya kupunguza stress za maisha
The idiot sounds like The best 007 , hizi fikra na ndoto za alinacha zina align perfectly na zake😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.

Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE

Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum

Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi

Karibuni sana
 
Wakenya wengi wanasema hivyo hivyo, ukweli ni kwamba wakenya waliaminishwa hivyo toka wakiwa watoto
Tony254
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya wengi ni akina nani? nani aliwaaminisha? 😂 😂 😂 😂 kwa vile nimeijua Tanzania sana kupitia jamii forums.., porojo wacheni, facts ziko wazi sana, hamudanganyi watu dunia ya leo, eti waliaminishwa.., weka proof hapa.., yaani mwalimu aonge kuhusu Tanzania shuleni? wapi? lini? Kenya ipi hiyo? apart from historia ya Kinjekitile na Nyerere etc nothing about Tanzania whether ni nchi tajiri ama masikini, so wacheni uongo, hii ni wivu na wishful thinking, blind patriotism tu😂😂😂😂😂😂😂., kwanza kuhusu Nyerere I knew him on a positive light, so hizi porojo zenu mnaziokota wapi na nyie ni fukara, nchi ya watu wengi pato kidogo, mko na city moja yenye CBD moja, less tarmacked roads than Kenya, Uchumi hafifu ama na hizi tumeaminishwa?.., Kinjekitile Jr porojo rudisha vijiweni.., 😂😂😂😂
 
Amka kutoka usingizini bana utajikojolea bure[emoji1787][emoji1787]
Hawa vilaza ni wajinga kuruka, mtu anaandika hadithi ili ajisikie vizuri, wanaumwa kuona tunawaacha mbali na facts ziko wazi sana., eti ameambiwa, a white lie, even Ugandans know better, huyu ni ndwazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tupe skyline ambayo iko 10km from cbd in Nairobi
Wewe onyesha any skyline in Dar mbali na ako ka CBD kenyu surrounded by nyumba za wahindi na waarabu mnaita density., iwe 0.001km away ama 50km away wala sio hoja, hoja ni skyline outside your traditional CBD, kweli kunayo nifunge account?
ukipata coodip1 kindly nitag., la sivyo fyata, vijisababu havitakusaidia hapa.,
 
Back
Top Bottom