Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpelekee mke wako hasira zako kwani hao ma injinia waliojenga ilo hawajaliona umeliona wewe tuu punguza upungwani boya wewe
sasa engineer wa mradi si ndo link niliyokupa here! Ila sterling wa magovinda akaona kituo kiwekwe Chato! Ngoja nikuletee nondo nyingine za ukabila wake napendaga ubishi wenu wa kumtetea unanipa nafasi kuelimisha watu marehemu alikuwa mtu gani! Wewe nionyeshe studies za Nile Basin Initiative zilizopendekeza/zilizosema kituo kiwe Geita au Chato!
 
FYAFnWAWIAAXvWq
 
Wakenya wengi ni akina nani? nani aliwaaminisha? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa vile nimeijua Tanzania sana kupitia jamii forums.., porojo wacheni, facts ziko wazi sana, hamudanganyi watu dunia ya leo, eti waliaminishwa.., weka proof hapa.., yaani mwalimu aonge kuhusu Tanzania shuleni? wapi? lini? Kenya ipi hiyo? apart from historia ya Kinjekitile na Nyerere etc nothing about Tanzania whether ni nchi tajiri ama masikini, so wacheni uongo, hii ni wivu na wishful thinking, blind patriotism tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., kwanza kuhusu Nyerere I knew him on a positive light, so hizi porojo zenu mnaziokota wapi na nyie ni fukara, nchi ya watu wengi pato kidogo, mko na city moja yenye CBD moja, less tarmacked roads than Kenya, Uchumi hafifu ama na hizi tumeaminishwa?.., Kinjekitile Jr porojo rudisha vijiweni.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unatoa povu namna hii tumegusa a raw nerve nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe onyesha any skyline in Dar mbali na ako ka CBD kenyu surrounded by nyumba za wahindi na waarabu mnaita density., iwe 0.001km away ama 50km away wala sio hoja, hoja ni skyline outside your traditional CBD, kweli kunayo nifunge account?
ukipata coodip1 kindly nitag., la sivyo fyata, vijisababu havitakusaidia hapa.,
Mimi nimekupa challenge kwanza uweke skyline ya 10km from Naipori ukishaweka na mimi ndio nitaweka.
 
Back
Top Bottom