Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli wewe kitobwa sio kwa viloja hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona huyu mwongo kwa jina joto la jiwe anatudanganya kwamba bei ya kuconnect umeme ni Tsh 30,000 kumbe ni Tsh 300,000. Kwa kila maneno 100 ya Joto la jiwe chukua sufuri.
Wewe ni wivu ndio unakusumbua sio lingine. Vijijini kuunganisha umeme ni TSH 27,000. Magufuli aliweka hiyo Bei na mama bado hajaitengua, mijini ndio ni 300,000. Tony punguza wivu kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Mkuu ilo eneo liko hot vibaya mno, Ukiacha na nyumba za milimani sehemu tambarare nyingi zimepimwa mza, wale maskini wasiojiweza ndio hukimbilia Mlimani. Changamoto kubwa ni barabara.

Hizi ni baadhi ya nyumba kwenye hilo eneo la Nyamhongolo
 
Elewa maana ya access kwanza wewe kilaza ndio uje hapa umwage kinyesi chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…