Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
So, everyone who wants to stay cool must go to the beach?In eastern US they flock the beach for cooling off it seams you haven't set foot out of Kibera.
So, everyone who wants to stay cool must go to the beach?In eastern US they flock the beach for cooling off it seams you haven't set foot out of Kibera.
It has never been a need in the tropics wewe kilaza usilazimishe mtu kujenga fire place kwenye nyumba zao kama mwenye nyumba hataki wewe inakuwashia nini? Pilipili ale mwingine uwashwe wewe.Serikali inaweza kufanya nyumba zote zinazojengwa kwenye mikoa yenye baridi kuwa na fire place Au heating system. I don’t see why that would be a problem. Why are you against heating? Can someone try to make me understand why anyone wouldn’t want to stay warm when it’s cold?
Badala ya kuwasha jiko la mkaa ndani na kufa Kwa suffocation, a fireplace/heating system will do the job. It’s a matter of policy.
I have lived in Eastern US and europe I know what I am saying.So, everyone who wants to stay cool must go to the beach?
“The tropics” are very diverse geographically. In Tanzania, for instance, colder areas tend to be in the Southern Highlands, the Arusha-Kilimanjaro regions, Usambara mount block, etc.It has never been a need in the tropics wewe kilaza usilazimishe mtu kujenga fire place kwenye nyumba zao kama mwenye nyumba hataki wewe inakuwashia nini? Pilipili ale mwingine uwashwe wewe.
So you say. Do all Europeans have easy access to the beach? If you lived in Berlin or Paris or Vienna, would you go to Southern France or Italy or Spain every day to stay cool through the hot summers?I have lived in Eastern US and europe I know what I am saying.
Halina mjadala hiloThe most modern train stations south of Sahara. First world infrastructure without a doubt.
heb fanya kunirekebisha mshikaji wangu.. si unajua sisi wakenya kwa kiswahili, kidogo tuna tatizo. kama nilikosea kwenye hilo sentensi yangu. heb ni sahihishe jinsi ningefaa kuandika kwa kiswahili mufti. ntashukuru sana. JF ni shule. humu wakenya tumejufunza mengi tu. hasa mimi dyfre. na wala siwezi kataa mchango wenu.. 🙏🏽🙏🏽Andika kiingereza tutakuelewa, Kiswahili hujui, unatukwaza
Amepata visa ila amefanyiwa madhambi. Atafika 2 hours kabla michezo kuanza na atatakiwa kukimbia siku hio hio bila kupata muda wa kupumzika baada ya kusafiri masaa 24. Anaoshindana nao akina Fred Kerley wa Marekani wao wamepata muda wa kutosha wa kupumzika. Huyu Omanyala nilimtazama live akikimbia nilipokuwa huko Kasarani stadium na aliwashinda Wamarekani wote siku hio.Sasa si watamstress hata akipata sasa hivi ataweza kufanya vizuri kweli?
Ila Afrika bado tuko strong anaweza kufanya wonders tumuombee apate visa, better late than never!
Upo sahihi nakubaliana nawe ila nina matatizo mawili na wazo lako nataka unijibu.Hizo ni data za wazungu kwa mazingira ya kwao. Huku Africa tunapaswa tuwe na indicators zetu wenyewe ambazo zinaendana na mazingira ya huku.
Mfano mzuri ni wazungu wanaweza waka classify mtu kuwa below poverty line kwa kuangalia income/matumizi ya mtu below $3 ila ukiangalia vizuri mfano mtu ana kuku wake wa kienyeji anakula mayai organic kila siku sasa embu fikiria akila mayai mawili ambayo ni organic gharama yake kwa supermarket ni dollar ngapi huko kwao?
Kwa siku Mayai mawili organic asali kidogo organic, sukuma wiki organic, sardines, rice au ugali embu niambie hivi vitu gharama yake haitazidi dollar 3 huko ulaya?
Je kama itazidi can you classify that person kuwa below poverty line?
Hii ndo ile platform/daraja ya kutoka na kuingilia brt yao?View attachment 2290597View attachment 2290598


kumbe wakenya wana Brt ? nilikuwa sifahamu
Hapa walishabugi
Absolute garbage!“The tropics” are very diverse geographically. In Tanzania, for instance, colder areas tend to be in the Southern Highlands, the Arusha-Kilimanjaro regions, Usambara mount block, etc.
I’ve visited many colonial buildings in Tanzania, and I noticed many of them have chimneys. But isn’t Europe colder than the tropical Tanzania? Why did they bother to install a heating mechanism in these buildings, knowing they were a few hundred miles south of the Equator?
It’s not just colonial buildings, some hotels and lodges have heating. So, why wouldn’t a typical citizen have access to that?
Human ingenuity helps us solve problems instead of just living through them. If some people died because it was too cold and they didn’t have the right means to keep themselves warm, isn’t it right to finally do something?
You act like it’s an invasion of privacy to have the government make life better for everyone. I think you haven’t had the privilege to have the right people in the positions of power. Because if you did, there would be a leader who cared enough about this issue.
Care to explain? Bigotry won’t make your perspective sound reasonable. Only valid arguments can do that.Absolute garbage!