Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
I concur with you on thisWakoloni ndio walisign hiyo treaty bila kushirikisha wakenya na kuzingatia manufaa ya wakenya hivyo hiyo treaty tayari by itself ni null and void.
I concur with you on thisWakoloni ndio walisign hiyo treaty bila kushirikisha wakenya na kuzingatia manufaa ya wakenya hivyo hiyo treaty tayari by itself ni null and void.
Sio kibera tu Nairobi nzima inanuka mazi na watu wakeMitaa za mabanda and specifically Kibera hiyo ilikuwa lakini zilizopendwa hizo
Sawa bongolala. umefurahi sasa?
Si kweli mbona Ethiopia ina host international organs na ilipata kuwa nchi ya Kikomunisti! Sisi sasa hata airline yetu ipo vizuri sioni sababu kwann tusi-lobby pia! GoT iamke!Kiongozi sisi tangu awali sio watu wakujipendekeza kwa mabeberu halafu historia yetu ya ujamaa inatuhukumu wazungu hawana imani na sisi kuanzia zamani maana wanajua sisi ni watu wa msimamo.
Huko nyuma tulishawahi kuvunja uhusiano na Israel, UK, South Korea na West Germany kisa kutaka kutuchagulia marafiki. Sasa wakikumbuka hizi historia na misimamo ya nchi wanaogopa mambo ya force majeure.
Niletee short ya long final, as you approach the runway kindly, i knw thats a tall order

si jana, hii ndo imekua hoja kuu ya mjadala kwenye hili jukwaa.. au kama vip masera wangu......Umetoa wap izo takwimu?
Andika kiingereza tutakuelewa, Kiswahili hujui, unatukwazasi jana, hii ndo imekua hoja kuu wa mjadala kwenye hili jukwaa.. au kama vip masera wangu......
'but this was the main highlighted topic of discussion yesterday in this forum. or wht do u have to say dude...'Andika kiingereza tutakuelewa, Kiswahili hujui, unatukwaza
🤣🤣🤣, Muoga sana we jamaa, kwahyo umeandika tena kwa kiingereza.? 🤣🤣🤣, Lakini nadhani ni wewe ulieleta report za top 10 GDPs in Africa 2022 (nafkiri ni last month) ambayo ilionekana kuitaja Tanzania with $77 billion (correct me if I'm wrong), tuusan amekuuliza hii figure $65 billion unataja tena right now umeitoa wapi.? au tulishuka tena after a single month.? 🤣🤣🤣'but this was the main highlighted topic of discussion yesterday in this forum. or wht do u have to say dude...'
Middle East itakua na miji mizuri zaidi duniani in the near future..BAHRAIN 👇.
utajua haujui 🤣🤣🤣🤣🤣, Muoga sana we jamaa, kwahyo umeandika tena kwa kiingereza.? 🤣🤣🤣, Lakini nadhani ni wewe ulieleta report za top 10 GDPs in Africa 2022 (nafkiri ni last month) ambayo ilionekana kuitaja Tanzania with $77 billion (correct me if I'm wrong), tuusan amekuuliza hii figure $65 billion unataja tena right now umeitoa wapi.? au tulishuka tena after a single month.? 🤣🤣🤣
Yeah sure, Ila exclude China kwenye hii Hadithi yako, China is on it's levels, there will be no single nation to match China ikija suala la miji mizuri and the larger number of tallest structures, Arab world itakua namba mbili nyuma ya Chinaand much as the arab and muslim world seem to be the most reserved pple in the planet.. but in the contrary, they seem to be developing the most futuristic smart cities in the world, than any nation, even ahead of china. note, arab world is home to the tallest iconic structures in the globe🌎 at the moment