Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We’re having an informal conversation. And don’t flatter yourself. You don’t deserve to be addressed formally when you treat other people poorly. When I asked you my queries, I never insulted you. But the first thing you did was to throw slurs at me. So go fu*k yourself. If you’re waiting to be treated with respect, you’ll never get it from me. Respect is EARNED!
Wewe mbona vita kila siku?
 
Wewe mbona vita kila siku?
Sina lengo la vita na mtu yeyote. Lakini kama watu wanakuchukia lazima vita upigane. Huyo mbwa sikumtusi wakati nimecomment kwenye post yake. Yet kitu cha kwanza akaanza kunitukana. Hii si vita, it’s just Karma coming back to bite him in the ass.
 
Huu uswazi wa Runda tunaanza kuujadili lini? 😂😂😂

View attachment 2290494
Nairobi hakuna uswazi bongolala. Uswazi ndio hizi hapa Oysterbay
images - 2022-06-27T000352.699.jpeg
images - 2022-06-27T000407.013.jpeg
 
Sasa what are you writing? Kuna point yoyote unayoandika? Nasubiri ujibu maswali yangu lakini Mpaka sasa unang’ang’ania “kunichamba.”

“Nyang’au Nyang’au Nyang’au” is all you know. Hata vocabulary yako ya kiswahili ni ndogo.
😂😂😂 What a Pathetic creature.

He is no pathetic for telling what you really are.

Why do you guys hate yourselves and your national identity? What is wrong with being Kenyan? Can you be kind enough and brief us what is not known to us?
 
Nina swali moja la muhimu. Hivi ni kwanini nyumba za Tanzania kwenye mikoa yenye baridi hazina fire place Au heating system? Watu wanakufa Tanzania wakati wa baridi kila mwaka kwasababu hakuna proper heating mechanisms. Wengi wanawasha majiko ya mkaa ndani kupata joto, lakini hawafahamu kuwa Carbon monoxide inawaua.

Ni ushamba wa architects wa kitanzania? Local governments pia haziweki juhudi kuleta awareness? Tatizo liko wapi?
Cold weather ni kipindi kifupi tuu hakuna hitaji la fire place. Umeshawahi kuona air conditioning units in European homes most of them don't have sababu summer ni kipindi kifupi tuu
 
Cold weather ni kipindi kifupi tuu hakuna hitaji la fire place. Umeshawahi kuona air conditioning units in European homes most of them don't have sababu summer ni kipindi kifupi tuu
What? 😂😂😂😂😂😂
 
Cold weather ni kipindi kifupi tuu hakuna hitaji la fire place. Umeshawahi kuona air conditioning units in European homes most of them don't have sababu summer ni kipindi kifupi tuu
I’m somewhere in Eastern United States right now and we’re in the middle of Summer. It’s hot as hell. Why wouldn’t there be air conditioning units in European homes? These parts of the world also experience heat waves, and they kill thousands. So, why wouldn’t they want to cool down?
 
Hahaha mumekuwa mkipinga gdp. Sasa pia mumeanza kupinga HDI? Aisee mnashangaza.
The best 007 wewe pia huamini hii data ya HDI?
Hizo ni data za wazungu kwa mazingira ya kwao. Huku Africa tunapaswa tuwe na indicators zetu wenyewe ambazo zinaendana na mazingira ya huku.

Mfano mzuri ni wazungu wanaweza waka classify mtu kuwa below poverty line kwa kuangalia income/matumizi ya mtu below $3 ila ukiangalia vizuri mfano mtu ana kuku wake wa kienyeji anakula mayai organic kila siku sasa embu fikiria akila mayai mawili ambayo ni organic gharama yake kwa supermarket ni dollar ngapi huko kwao?

Kwa siku Mayai mawili organic asali kidogo organic, sukuma wiki organic, sardines, rice au ugali embu niambie hivi vitu gharama yake haitazidi dollar 3 huko ulaya?

Je kama itazidi can you classify that person kuwa below poverty line?
 
Na hata kama hakuna vifo vingi vinavyosababishwa na baridi, tunaishi karne ya 21. Tuna uwezo wa kujikinga wakati wa hali ya hewa mbaya. Kwanini nyumba zisiwe na fire place Au heating system? Unakuta watu wanalalamika baridi wakiwa ndani wakati zipo njia nyingi tu za kupunguza baridi kali.
Kwani kujenga fire place ni sheria? Mwenye nyumba ndio anaamua aweke fire place au asiweke it is their own choice and there is nothing we or the government can do to change that.
 
Kwani kujenga fire place ni sheria? Mwenye nyumba ndio anaamua aweke fire place au asiweke it is their own choice and there is nothing we or the government can do to change that.
Serikali inaweza kufanya nyumba zote zinazojengwa kwenye mikoa yenye baridi kuwa na fire place Au heating system. I don’t see why that would be a problem. Why are you against heating? Can someone try to make me understand why anyone wouldn’t want to stay warm when it’s cold?

Badala ya kuwasha jiko la mkaa ndani na kufa Kwa suffocation, a fireplace/heating system will do the job. It’s a matter of policy.
 
I’m somewhere in Eastern United States right now and we’re in the middle of Summer. It’s hot as hell. Why wouldn’t there be air conditioning units in European homes? These parts of the world also experience heat waves, and they kill thousands. So, why wouldn’t they want to cool down?
In eastern US they flock the beach for cooling off it seams you haven't set foot out of Kibera.
 
Back
Top Bottom