Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uswazi wa Runda tunaanza kuujadili lini? 😂😂😂

Screenshot_20220714-170705.png
 
Kumbe Lazyland Republic ina lower HDI kushinda Uganda despite Uganda having a lower gdp per capita than Tanzania. Tanzania ni middle income lakini Uganda ina higher HDI kuishinda despite Uganda still being a least developed country. Sijui nani aliwaroga. Gap kati ya Tanzania na Kenya ya HDI ni kubwa mpaka inakuwa kama jokes.

View attachment 2290341View attachment 2290344View attachment 2290349

tuusan yaani Uganda wamewashinda kwenye HDI? Nimeshangaa sana. Yaani mnapigwa mpaka na LDC kwenye HDI?
Yani mnachekesha sana na hivyo vidata uchwara mtu anayekula kuku wengi kwa mwezi na anayekula kuku 3 kwa mwezi na kula mlo mmoja au kulala njaa kabisa unahaja kweli ya kuangalia HDI?
 
Back
Top Bottom