Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata before hizo nchi zijiunge na EAC bado tulikua tunafanya bishara nao chini ya bilateral agreements. EAC naweza ilinganisha na EU, one country different systems, sasa vile tuliruhusu unstable shitholes zijiunge tumeipunguza nguvu diplomatically na socially.
Ww kama mtanzania wa kawaida hauna interaction yeyote socially na S.sudan ambayo ni dead weight tunawabeba.
Resolutions zote zitapishiwa hapo Arusha zitakua useless juu S.sudan na Drc hazina serikali ya kuzi- enforce au ku- implement.
Tofauti ya South Sudan na Kenya kwenye insecurity ipo wapi?, angalia katika "tanks" duniani Kenya na South Sudan hampishani Sana! Kenya No.125 na South Sudan 131[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mlipigwa mapanga kule, hamuna lenyu., wacha uone vile tunachangamkia fursa nyie mkikenua meno na kuzubaa kwa beach kule pwani zenu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Je Tokea mmelipeleka jeshi lenu kongo nini cha maana mmekifanya huko kongo? Au mmeenda kutalii?
 
nenda kawaulize congo kwann wanaigopa sana tanzania na siku zote wanamsemo wao wanakwambia “tanzania bandugu yetu”[emoji23][emoji23]
Tokea wapeleke jeshi lao Congo hadi leo hakuna cha maana wanachofanya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namaanisha pitia hayo majengo uone! Au wewe unajua kubomoa tu sio? Rehabilitation na renovation na upgrade si maneno unajua? Kuna pia Hotel 77 sasa ni Gran Melia! Bia hotel ya Verde Zanzibar ilikuwa Bwawani kabla na hata KIA kabla ya modernization!
I have learnt, thanks for the info brother.
 
Hata before hizo nchi zijiunge na EAC bado tulikua tunafanya bishara nao chini ya bilateral agreements. EAC naweza ilinganisha na EU, one country different systems, sasa vile tuliruhusu unstable shitholes zijiunge tumeipunguza nguvu diplomatically na socially.
Ww kama mtanzania wa kawaida hauna interaction yeyote socially na S.sudan ambayo ni dead weight tunawabeba.
Resolutions zote zitapishiwa hapo Arusha zitakua useless juu S.sudan na Drc hazina serikali ya kuzi- enforce au ku- implement.
Acha kelele hapa ufanyaji wa biashara utakuwa rahisi sana between RDC na partner states na next time acha kuzarau nchi nyingine maana hiyo ndio shida yenu kubwa.
 
Tunawaambia kila siku muwache kula tumbiri hamuskii.
IMG_20220714_091859.jpg
 
Kumbe Lazyland Republic ina lower HDI kushinda Uganda despite Uganda having a lower gdp per capita than Tanzania. Tanzania ni middle income lakini Uganda ina higher HDI kuishinda despite Uganda still being a least developed country. Sijui nani aliwaroga. Gap kati ya Tanzania na Kenya ya HDI ni kubwa mpaka inakuwa kama jokes.

Screenshot_20220714-150409.jpg
Screenshot_20220714-150433.jpg
Screenshot_20220714-150356.jpg

tuusan yaani Uganda wamewashinda kwenye HDI? Nimeshangaa sana. Yaani mnapigwa mpaka na LDC kwenye HDI?
 
Kumbe Lazyland Republic ina lower HDI kushinda Uganda despite Uganda having a lower gdp per capita than Tanzania. Tanzania ni middle income lakini Uganda ina higher HDI kuishinda despite Uganda still being a least developed country. Sijui nani aliwaroga. Gap kati ya Tanzania na Kenya ya HDI ni kubwa mpaka inakuwa kama jokes.

View attachment 2290341View attachment 2290344View attachment 2290349

tuusan yaani Uganda wamewashinda kwenye HDI? Nimeshangaa sana. Yaani mnapigwa mpaka na LDC kwenye HDI?
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom