Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nenda kawaulize congo kwann wanaigopa sana tanzania na siku zote wanamsemo wao wanakwambia “tanzania bandugu yetu”😂😂
Hawaiyogopi, pia wanaita Kenya, waganda, Burundi bandugu, it's just a cliche'.. jiulize mbona wanajazana Kenya kuliko Tanzania?
 
Hapana ndio imeongeza fursa za biashara
Hata before hizo nchi zijiunge na EAC bado tulikua tunafanya bishara nao chini ya bilateral agreements. EAC naweza ilinganisha na EU, one country different systems, sasa vile tuliruhusu unstable shitholes zijiunge tumeipunguza nguvu diplomatically na socially.
Ww kama mtanzania wa kawaida hauna interaction yeyote socially na S.sudan ambayo ni dead weight tunawabeba.
Resolutions zote zitapishiwa hapo Arusha zitakua useless juu S.sudan na Drc hazina serikali ya kuzi- enforce au ku- implement.
 
Unazani muingereza kuweka maneno street, road, avenue boulevard na drive ni mjinga ?
Maneno yote hayo yana maana tofauti they are not the same.
Ujinga ni pale unapoita barabara katikati ya mji highway sijui main road
 
IMG_0125.jpg
 
Mbona jengo lina design nzuri? Hivi unakumbuka Kilimanjaro Hotel na Novotel Mt Meru kabla hazijawa Kempinski na Hyatt na Mt meru Hotel? Sasa kama zile hoteli ziligeuzwa zikawa slick facilities mbona tuvunje JNIA Terminal II? Tembea uone mzee!
Lol "tembea uone"😂😂

Kwa mifano ya Kilimanjaro na Mount Meru, uko sahihi kabisa na nakubaliana na wewe.

Ngoja tuone dizaini zao, mi naomba ziwe bomba sana na kubwa.
 
Lol "tembea uone"😂😂

Kwa mifano ya Kilimanjaro na Mount Meru, uko sahihi kabisa na nakubaliana na wewe.

Ngoja tuone dizaini zao, mi naomba ziwe bomba sana na kubwa.
Namaanisha pitia hayo majengo uone! Au wewe unajua kubomoa tu sio? Rehabilitation na renovation na upgrade si maneno unajua? Kuna pia Hotel 77 sasa ni Gran Melia! Pia hotel ya Verde Zanzibar ilikuwa Bwawani kabla na hata KIA kabla ya modernization!
 
Wivu ndio inaongea hapa., ona ulivyo mjinga, haujui lolote wewe, hao umetaja kwa wingi ni vijakazi tu, not developers, wazungu and chinese are developers and investors kwa wingi, idiocy on steroids as usual
Kwanini hukutaja Chinese ambao ndio wengi kushinda wazungu?. Ninyi bado ni "colony" la wazungu "mentally" lazima mkubali huo ukweli.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom