chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Tanakana au tanakali? 😅😅😅ila bado nimebobea sana katika hii fani ya hii lugha tamu ya kiswahili, yani lugha iliyo na mishororo na tanakana za sauti. yaki kiswahili nakienzi ile mbaya!
Speaker wenu hata kusoma kiswahili hajui 😂😂😂

