Last time I said, You guys are living in your own world,yeah....nyinyi mshai kuwa na conference gani ya maana ?
Hiyo ya Nairobi ni GOFU, with oldy ugly design, huwezi fananisha na modern things za Dar.hiyo ndio conference hall inadai ku compete the legendary KICC....Hahaha. who even knows about it....
Machungu..who is this dumba$$ trying to compare kicc to i dont know jnicc.....
But haina kazi ya maaana...mnajenga but no conferencesLast time I said, You guys are living in your own world,
Just imegine these Things are in Dodoma, forget Dar.
Chimwaga Conference Hall. Dodoma
View attachment 589336View attachment 589337View attachment 589338View attachment 589339View attachment 589340
And this one Dodoma Convention Center
View attachment 589343View attachment 589345
And there is one Dodoma international convention center u/c
Hiyo ya Nairobi ni GOFU, with oldy ugly design, huwezi fananisha na modern things za Dar.
Tatizo mnawapiga sana kamba wanaija, na wasauzi na wengine wasiowajua, na mkipata nafasi kufanya presentation kwa wazungu ndio kabisa mnawaaminisha kuwa mko na maendeleo kama ya Morocco.I am sure Nairobi can and will never miss in the top 5 most developed African cities but as usual the jealous ldc dwellers south will have issues. but we don't give a ****. ...we need haters too....
Sio mbaya, but we have it, watoto wetu watatafutia matumizi.But haina kazi ya maaana...mnajenga but no conferences
hahaha hatuwez kujenga bila maana pole sana kwa hasira😀😀😀😀😀But haina kazi ya maaana...mnajenga but no conferences
hahahah hebu nioneshe ya kenya ambayo ni modern naisubiri😀😀😀😀😀Hadi stadium mko nayo moja modern but no talent....shame!
kuna wakati gas ilipogundulika tanzania wakenya walikimbia europe na kusema gas iko kenya, sasa wazungu wakaja kenya kuangalia vitalu vya gas wakakuta hakuna kitu kumbe walikua wanatafuta uwakala kupitia kwa wazungu na kwa tanzania, wakatoka mswaki😀😀😀😀😀😀, yani katika maisha yangu mm sijawah kuona watu wanaishi maisha duni kama wakenya yani sumu ya maisha ni kali sana kenya lakin kwa kupenda sifa hawajambo😛😛😛😛😛Tatizo mnawapiga sana kamba wanaija, na wasauzi na wengine wasiowajua, na mkipata nafasi kufanya presentation kwa wazungu ndio kabisa mnawaaminisha kuwa mko na maendeleo kama ya Morocco.
Imefikia hatua hadi mnapika data zenu za uchumi mradi tu muonekane mmeendelea,
Maisha yenu ya maigizo sana, mko na utumwa vichwani mwenu. Wengi wenu mnaishi maisha Duni lakini you try to fake life through your outlooks, mnavaa masuti oversize ya mitumba na kukaa pale Uhuru park huku mkizungumza kingereza asubuhi hadi jioni na kurudi makwenu pasi hata ya mlo mmoja..
Ila sisi Jirani zenu tunawajua hadi vyumbani kwenu, wengi wenu mnaishi kwenye maisha Duni sana ya kwenye slums,
Mkijikwamua kidogo basi mnapanga two rooms kwenye mabweni ya mabepari wa kizungu na wakikuyu walioiibia serikali yenu..
Ni rahisi kwa Mnaijeria kusema Nairobi is the most developed City in Africa, sababu haijui vyema nairobi , lakini tunaojua Nairobi nje ndani tunabaki kuwaangalia tu.
Nairobi kuna stadia mbili. Zote za kitambo. But huge capacity. Inaitwa sporting infrastructurehahahah hebu nioneshe ya kenya ambayo ni modern naisubiri😀😀😀😀😀
kumbe za kitambo asante bro kwa majibu mazuriNairobi kuna stadia mbili. Zote za kitambo. But huge capacity. Inaitwa sporting infrastructure
Enda rural areas Tanzania utawaona. Najua hujawai toka Darkuna wakati gas ilipogundulika tanzania wakenya walikimbia europe na kusema gas iko kenya, sasa wazungu wakaja kenya kuangalia vitalu vya gas wakakuta hakuna kitu kumbe walikua wanatafuta uwakala kupitia kwa wazungu na kwa tanzania, wakatoka mswaki😀😀😀😀😀😀, yani katika maisha yangu mm sijawah kuona watu wanaishi maisha duni kama wakenya yani sumu ya maisha ni kali sana kenya lakin kwa kupenda sifa hawajambo😛😛😛😛😛
Yep, Nyayo stadium ya 1983 na kasarani ya 1987.kumbe za kitambo asante bro kwa majibu mazuri
bahat nzuri mm nasafiri sana bro na kuna baadhi ya maeneo kenya nimefika tena mpaka migori 😀😀😀😀Enda rural areas Tanzania utawaona. Najua hujawai toka Dar
yap maana yake hakuna modern stadium kama ya dar 😀😀😀😀Yep, Nyayo stadium ya 1983 na kasarani ya 1987.
Labda kama umetumia google maps. Nairobi? Nakuru? Mombasa? Malindi n.k. Umesafiri mpaka huko?bahat nzuri mm nasafiri sana bro na kuna baadhi ya maeneo kenya nimefika tena mpaka migori 😀😀😀😀
Congrats mmejenga. Inaonekana in the 90s na 00s mlikuwa mnachezea michezo yenu kwenye open fields. For now our stadia serve the purposeyap maana yake hakuna modern stadium kama ya dar 😀😀😀😀
na ukumbuke stadium ya dar is one the top ten expensive stadium in africa wachilia mbali ile modern stadium inayojengwa dodoma ambayo cost yake ni 100m usd na kazi imeshaanza