Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viwanda pengine tubishane na South Africa lakini sio Tanzania ambao muna import hadi chumvi.
EA88252F-E8D3-409F-A938-D1A638924FDD.jpeg

 
Hamuwezi kuendelea kiuchumi bila kulegeza sheria na kuwaruhusu wawekezaji kutoka nje kuwekeza kwa njia rahisi. Lazima mulegeze masharti kwa wawekezaji. Nimefuatilia economic success stories ya nchi nyingi duniani na karibu zote zinahusu nchi husika kufungua uchumi wake kwa wawekezaji kutoka nje. Japan is the best example kwa sababu ilijifungia kwa miaka 400 bila kutangamana na nchi zingine ila Marekani iliilazimisha kufungua uchumi wake in the 19th century. Ni kweli in the short term wazawa wataumia but in the long term wazawa watafaidika pakubwa.
Huwezi ukafungua uchumi hovyohovyo tuu bila kuwa na deliberate policies za kuwabeba wazawa katika uchumi utakaofunguliwa. Hata wenzenu huko nje kwa nchi ziliizoendelea wanazo policies in place za kulinda wazawa mfano mzuri ni UK na USA kwenye masuala ya ajira japo haiwekwi wazi lakini kuna kifungu cha ethnic origin lazima kijazwe. Mfano UK kwenye ajira priority ya kwanza kwenye selection ya ajira ni White British halafu inafuatia colored british, European union citizens then others. The same system is also found in USA.
 
Sometimes, mtu akiwa smart eneo flan haimaanishi akiongezewa cheo zaid atakuwa smart zaid.. Tanzania sijui tunakwamaga wap kwenye hili, yan mtu akionekana kafanya vizur bas mnampeleka sehem nyingine, na akipelekwa huko kwengine anatumbuliwa..
Mfano mdogo, yule jamaa wa mambo ya Meli, Mr Eric.. alikuwa vizur sana sana huko, kapelekwa kuwa MD wa TPA katumbuliwa juzi, na wengine tu..
Hapo kwa wizara ya kilimo nataka huyu Bashe awe wazir wa kilimo kwa zaid ya miaka 10, nakumbuka niliwah kusema hili..awe wazir wa kilimo at least 10 yrs
Nashauri, mtu akiwa smart eneo flan mweken hapohapo kwa miaka mingi zaid, hizo positions nyingine watafuten watu wengine na sio kuwaondoa hawa wanaofanya vizur na kuwapeleka huko kwengine
Hata yule fundi barabara alikuwa bora sana kwenye eneo lake kwa miaka mingi tuu lakini alipoongezewa cheo tuu na kuwa mkurugenzi mkuu tuliona uwezo wake katika uongozi.
 
Mzee mimi siongei kuhusu milima pekee naongea kuhusu elevation. Eneo linaweza kuwa halina milima ni tambarare ila likawa lina higher elevation kushinda elevation ya Lake Victoria na kwa hivyo maji hayataflow kupitia gravity. Yaani wewe concept ya elevation imekushinda kabisa kuelewa?
Embu angalia hiyo elevation unayoisema iko wapi hapa
Screenshot_20220712-172845_Opera.jpg
 
I understand your point. But a little correction is that while World Bank has access to government data, it doesn't always rely on government data 100% and it uses its own judgement as to the reliability of the data in question. There are many instances of World Bank producing its estimates after tweaking or changing government data and coming up with totally different figures. These World bank figures are not mirror images of government data. World Bank has a right to give its own estimations if it does not believe the data of a particular country. Also World Bank tends to give economic growth rates that contradict government growth rates. For example the Kenyan govt could be estimating to grow at 6% this year and World Bank gives an estimate of 5% contradicting the Kenyan govt. The reason why World Bank's gdp may differ from govt gdp figures is that World Bank may not trust the source of the data. If it is a dictatorial country where data tends to be manipulated then World Bank will not trust that source and they will use their own methods to give an estimate. You can read more here about how World Bank deals with unreliable data from poor countries.
Hapo umemjibu kisomi akirudi tena nitanuona kilaza.
 
Tanzanian roads









MY TAKE
Hizi barabara kama ile ya dualing Arusha-Moshi Highway zilicheleweshwa sana chini ya uongozi wa JPM, sijui sababu nini?
 
Huyu kama hajahujumiwa anafaa kuwa the next president after at most 10 yrs to come, he is very genius anayefatia baada ya Nyerere na JPM tena huyu anaweza kwenda extra miles kama tutamuamini na kumpa ushirikiano.
Hatuwapi watu u president kwa mihemko ya utendaji tumeshaumwa na nyoka huko nyuma hatutaki kurudia tena. Bashe kweli ni kiongozi mzuri kwa nafasi yake aliyonayo ila hulka na fikra zake kisiasa bado hazijathibitika vizuri ili tuweze kumfikiria.

Ili mtu apate uraisi apart from good records ambazo atakuwa nazo kiuntendaji ni lazima kwanza awe mzalendo wa kulinda hizi main principles tulizokubaliana katika katiba such as upholding of human rights, freedom of expression and association, respect of democratic spaces.

Kongozi awe tayari kuilinda, kuitetea na kuisimamia katiba ya JMT hiyo ndio first qualification criteria baadae ndio tuangalie utendaji wake
 
Kunyans,kumbe bado mnabakana tu mpaka sasa?? Amna tofauti na Burundi,congo au Somalia 👇👇
 

Attachments

  • FB_IMG_16576949326148663(1).jpg
    FB_IMG_16576949326148663(1).jpg
    89.4 KB · Views: 12
sawa Mzee zuzu! Unafikiri tender ile ni kama zile meli zenu za Congo? Hamna cha maana huwa unaongea humu ndani zaidi ya interests za Usukumagang as if mradi haujakwama as a result of the tender given to a fake company!
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom