El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
KICC can only compete with the AU headquarters in Ethiopia. ..by African standards
KICC can only compete with the AU headquarters in Ethiopia. ..by African standards
"wasee" wanatoa povu...who is this dumba$$ trying to compare kicc to i dont know jnicc.....

sheng is equal to swanglish hiyo ni language ya kiboyaNi wazee ndio hawazungumzi sheng. Sheng siku hizi kila mtu anaizungumza Kenya. Bonga, Msee, etc. Sheng ni advanced Swahili
Dar bado Sana kwa nai
Ahaaa, ata sasa sitasumbuana na watanzania tena, kumbe mnajua ukweli.ni kweli,ila jambo la kushangaza,ni nairobi ndio inayotolewa jasho na dar licha ya kwamba ilitangulia katika maendeleo.
sheng ni more complex, it has its own words, na pia imechukua from other local languages na pia international. Si Swanglish pekeesheng is equal to swanglish hiyo ni language ya kiboya
nyie mnaita sheng
Sisi tunaita swanglish
BogaNairobi 15 dar is slum 0 ... dakika ya 67
Sasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.sheng ni more complex, it has its own words, na pia imechukua from other local languages na pia international. Si Swanglish pekee
kweli bro na za Juma nature ndo watapotea kabisaSasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.
Nikileta wimbo wa zigo (AY) na Muziki (Darasa) hakuna mkenya hata mmoja ataweza kunitafsiria yale maneno zaidi ya machache ya English
kweli bro na za Juma nature ndo watapotea kabisa
Hio wimbo ya zigo siewezi hata kuitafsiri man... What is pugidi pugide, shigidi shigide... Naskianga tu, hasa aki lick D lick DehSasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.
Nikileta wimbo wa zigo (AY) na Muziki (Darasa) hakuna mkenya hata mmoja ataweza kunitafsiria yale maneno zaidi ya machache ya English
Sheng' is slang holmes, you can't claim that Sheng is bad or sth, all languages have slang, african Americans having tye most common but go to Britain and you'll find slang..Sasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.
Nikileta wimbo wa zigo (AY) na Muziki (Darasa) hakuna mkenya hata mmoja ataweza kunitafsiria yale maneno zaidi ya machache ya English
Thika road????no no,this is not Sam nujoma road.....it's thika road.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli wakenya washapoteanaKenyan ukimwambia hii ni public transport , atatoa macho sana ukifikiria matatu zenye kunguni![]()
![]()
![]()
spensa_e
huo ndio ukweli,ilitakiwa nairobi kwa sasa ipambane na capetown au johannesburg.Ahaaa, ata sasa sitasumbuana na watanzania tena, kumbe mnajua ukweli.

r na l ni tatizo Kwa baadhi ya wa TZ nakubaliana na weweunderstanding bongo is so easy....that's why I like bongo music. only that you shrub in the L and R
no matter how much you try to beautify it,sheng ya Nairobi hata inalingana na estates...kama ya umoja might have different terms and names that msee wa Githurai ama Buru can't understand. but there is this standard sheng that every urbanized Kenyan understands.
it's only the coastal people that don't speak the lugha ya mtaa sana .

usijari comrade....huwa napenda ku-enjoy wakenya.Thika road????![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli wakenya washapoteana
no matter how you try to beautify it,
sheng inabaki kuwa lugha ya wakora,ma-jobless and some uncivilized people of nairobi.
![]()
![]()
![]()
![]()