Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona New Force zilizotengenezwa Kenya zimepakizwa kwenye meli inayotoka ulaya kuletwa bongo, Wakunya bhn yn Tz hii ya viwanda, Tz ya watu wajanja itegemee mabasi yanayojengwa na mafundi wa mtaani Kenya are you serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Metropolitan cities dont have animal parks.
 
So the ocean gave birth to that trash. That's what you telling us!
Si nimeshakuonesha picha za recently zinavyofanana au hutaki, sasa niambie ww hapo panaruhusu uchafu wa baharini? Mana sehemu pekee mliyokuwa mnaitegemea ni baharini, sasa napo kunakaa hivi nowadays [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitajie mradi uliokufa nikufundishe kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitajie mradi uliokufa nikufundishe kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
How much has been injected so far tokea muweke mipango..., miradi inaweza ikachukia miaka 20., kukwama sio issue, issue ni kukamilika kwa wakati., yaani ata ka flyover kanajikokota kule Dar., wacha za ovyo mjukuu😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Egypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.
Chimbeni artificial river from lake victoria mpeleke maji huko marsabit mbona Israel anageuza jangwa kuwa mashamba ya kupandia mazao.
 

Mkuu mm binafsi nitawashangaa Wakenya wakimaliza huu uchaguzi bila kupambania nchi yao iliyotekwa na kikundi kidogo cha wanasiasa kikiongozwa na familia ya Mama Ngina, nawatakia kila la heri Wakenya wasikubali kabisa, na nadhani this time watafanya zaidi ya Sri Lanka.
 
Watanzania wamelike hii comment kumbe mimi ndio nilifanya makosa. Hii data ya World Bank ni ya end of 2021 wakati ile ya IMF ilikuwa prediction ya end of 2022 kama vile Teargass ameeleza hapo awali. Data yenyewe haina tatizo.
 
Tulijenga kibabe na bado tunaendekea kujenga miundombinu ya maji toka lake victoria maji ni ya kila mtu hakuna mwenyewe haki miliki.
 
Chimbeni artificial river from lake victoria mpeleke maji huko marsabit mbona Israel anageuza jangwa kuwa mashamba ya kupandia mazao.
Kuna kitu kinaitwa gravity mzee. Siku gani umewahi kuona maji ikipanda mlima? Una uhakika kwamba Northern Kenya iko at a lower elevation compared to Lake Victoria?
 
Misri inadhani hii maji ya Victoria ni property yao. These Arabs deserve some beating in the a**
Kenya is hindered by the River Nile Treaty signed I guess before independence which limits countries on Lake Victoria and along the Nile on utilizing or exploiting, as it is a lifeline for Egyptians as far as fresh water and food production is concerned, kuna international laws on that. Though Kenya wants to sign another pact with EAC and other countries that will allow it to use the water, I don't know how far they have gone with it, read sometime back.
 
Wee kaa ukijua hakuna siku shetani ataja mshinda mungu mkiwa na geza ulole, what i mean is nyinyi ni mashetani, ibilisi wakubwa sana nyie[emoji1787][emoji1787]
Kapanic[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Helpless??
Did this word get a new meaning?
Helpless people are you guys who have all the minerals there is in the world but still wallow in abject poverty
Same with you, you got water sources from lake victoria yet you are crying here due to hunger why don't you utilise your resources to bring water to northern kenya and for cultivation muondokane na njaa?
 
Egypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.
Saudi Arabia vp nao wana mito eehh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…