The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kiswahili kimeanzia Kenya alafu Wakenya hawakijui.Kwanza asante kwa kukubali kwamba kiswahili kilianzia kenya, ikija kwa ku- spread kiswahili siwezi pinga mchango wenu. Mimi personally huwezi nipata nikidharau mtu kisa hajui kuongea kizungu, hio ni slave mentality, nikiona mkenya mwenye hio tabia hua nasikitika sana.
Hii ni sawa na kusema buses quality za Tz zinatengenezwa Kenya alafu Wakenya wanatumia lori na punda ndiyo buses zao.
Hii pia ni sawa na kusema best view ya mount Kilimanjaro ipo Kenya wkt watalii wanafurika Tz kuja kuiona worst view of mount Kilimanjaro.
Ni sawa pia na kusema ombaomba wa Tanzania wanaenda Kenya wakati Kenya ndio kitovu cha ombaomba duniani, yani utoe mpunga Dar ukauze Kyela Mbeya maajabu haya








