Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
IMG_0149.JPG
 
lugha ya wakora,watu fukara na watafuna miraa wa kenya.

mkenya ambaye yupo civilized hazungumzi hiyo lugha.
Ni wazee ndio hawazungumzi sheng. Sheng siku hizi kila mtu anaizungumza Kenya. Bonga, Msee, etc. Sheng ni advanced Swahili
 
Tunakumbushana tu mitaa bora ya Dar es salaam
1.Oysterbay
2.Masaki
3.Mbezi beach
4.Mikocheni B
Etc. .....
 
Back
Top Bottom