Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sam Nujoma Road

2a2f28d60119a5186019969859876c3a.jpg
no no,this is not Sam nujoma road.....it's thika road.
 
mbona hilo jambo la kawaida tu?...wasomali, waganda watz, wahabeshi wanakuja nchini kupata matibabu kila uchao...kama tu vile watz, waganda, wanyarwanda wanaoelekea kwa Trump watakua wakipitia Nairobi tu kutumia KQ...
eti nchi ya uchumi wa kati kwa data za kupika yani ukali wa maisha kenya ni mkubwa kuliko nchi yoyote africa mashariki
😀😀😀😀😀😀 hua munaishi maisha ya kuzimu
 
eti nchi ya uchumi wa kati kwa data za kupika yani ukali wa maisha kenya ni mkubwa kuliko nchi yoyote africa mashariki
😀😀😀😀😀😀 hua munaishi maisha ya kuzimu
if world bank is cooking kenya GDP then it is cooking other GDPs as well....yenu basi itakua ni 25B basi....heri hata ukubali tu uchumi wa kenya ni 70B sababu kama ni ndogo kuliko 70B just think of TZ GDP...si itakua 20B basi...yaani uchumi wenu muunganishe na ya uganda ndio ifanane na 70B...lol!
 
Don't compare thika superhighway to that road. Trying to be satirical only to end up being more of a dumb ass.
 
heri hata ukubali tu uchumi wa kenya ni 70B sababu kama ni ndogo kuliko 70B just think of TZ GDP...si itakua 20B basi...yaani uchumi wenu muunganishe na ya uganda ndio ifanane na 70B...lol!
***** 70B ya kwenye makaratasi labda😀😀😀😀😀😀😀
 
***** 70B ya kwenye makaratasi labda😀😀😀😀😀😀😀
unashtuka na 70B?? 70B hata si uchumi mkubwa by the way ila miafrika tu wajinga sana...curse this continent...wewe unaona uchumi wa 70B eti mkubwa wakati wengine wanahesabu uchumi wa 16 Trillion...miafrika duh! no wonder we are poor...we think like inferiors.
 
70B hata si uchumi mkubwa by the way ila miafrika tu wajinga sana...curse this continent...wewe unaona uchumi wa 70B eti mkubwa wakati wengine wanahesabu uchumi wa 16 Trillion...miafrika duh!
70B kwa kenya itabaki expectations yani kwa sasa ni ndoto ya mchana ila sio mbaya endelea kuota kama unavoota kwenye renders😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Largest water theme park in east and central Africa....kunduchi wet n wild
fb_img_1489870795526-jpg.485107
 
Back
Top Bottom