ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
meanwhile Lissu yupo Aga Khan ana pokea matibabu...Tanzania ni nchi ya amani na haina majigambo
View attachment 586724
Some Kenyan tycoon who was/is sponsoring NASA. Search him on twitteryou speak as if all of us know him/her.
who is he/she if i may ask?.
Jiulize wewe hao ndugu zako😀😀😀meanwhile Lissu yupo Aga Khan ana pokea matibabu...
tulia kwanza sindano ichome vzr...picha za Nai zajaAsante kwa kuonesha hasira😀😀😀
ndugu zangu?? mbona hueleweki ww...Jiulize wewe hao ndugu zako😀😀😀
Huko Northern Kenya ni Somalia tu,Poleni sana ndugu zetu kwa kisago kutoka kwa alshabab
View attachment 586702
Ameletwa kwa sababu za kiusalama nafkiri unajua maana yake😀😀😀😀😀meanwhile Lissu yupo Aga Khan ana pokea matibabu...
Hahahha lamu imekua somalia sasa 😀😀😀😀Huko Northern Kenya ni Somalia tu,
Wakenya wenzenu wamekosa matibabu kenya wamekuja tanzania kuhudumiwa hapo hujaelewa nnndugu zangu?? mbona hueleweki ww...
Siamini kama dar ya leo inakutia hasira kias hichotulia kwanza sindano ichome vzr...picha za Nai zaja
utapigwa na butwa ukiona mammonth imepaa Nairobi pale...wanaiita the pinnacle..ina urefu wa mita 300...yaani unaunganisha mijengo mitatu ya Dar ndio ifikie..😀😀 kenya sio mchezo...Siamini kama dar ya leo inakutia hasira kias hicho
Mm napenda kuona renders unazopost 😀😀😀
Endelea hvo hvo plz
Huko si mandera??Hahahha lamu imekua somalia sasa 😀😀😀😀
Asante kwa povu
mbona hilo jambo la kawaida tu?...wasomali, waganda watz, wahabeshi wanakuja nchini kupata matibabu kila uchao...kama tu vile watz, waganda, wanyarwanda wanaoelekea kwa Trump watakua wakipitia Nairobi tu kutumia KQ...Wakenya wenzenu wamekosa matibabu kenya wamekuja tanzania kuhudumiwa hapo hujaelewa nn
Kenyan ukimwambia hii ni public transport , atatoa macho sana ukifikiria matatu zenye kunguni
antonyms of ugly are attractive, beautiful, lovely and pleasing.Ugly

the main reason for lissu to be treated in kenya is "security"......nadhani hilo unalijua ila tu umeamua kujitoa ufahamu.meanwhile Lissu yupo Aga Khan ana pokea matibabu...
yap asante kwa renders ndugu naenjoy kuona renders😀😀😀😀utapigwa na butwa ukiona mammonth imepaa Nairobi pale...wanaiita the pinnacle..ina urefu wa mita 300...yaani unaunganisha mijengo mitatu ya Dar ndio ifikie..😀😀 kenya sio mchezo...