Hawa sio bure wanataka kuogelea kwenye swimming pool hapo ndani na kukaa pamoja na kupiga picha hapo kwenye state room

Hawa sio bure wanataka kuogelea kwenye swimming pool hapo ndani na kukaa pamoja na kupiga picha hapo kwenye state room

Huu mji hauna city authorities such a deplorable state.na hii je
Hawa watu wamenyonywa sana na wanasiasa wao hadi wamepoteza matumaini ya maisha ndio maana unaona hali za nyuso zao zilivyo.nchi ya GDP kubwa.. afu kama kawaida msiache kuangalia nature ya watu wao walivyo..(wako kihunihuni tu)..na mavazi na mazingira kiujumla.. afu kwann maboys wengi wa kikenya wanafuga/wanaweka nywele zao dreads
Ila kwenye data za sukuma wiki wametuzidi lazima niwe muwazi hapa.
Mwaka Juzi nilikua mara kwa mara nikiwaambia wakenya waingie barabarani Kama walivyofanya Sudan kwasababu hali ya maisha Kenya imeendelea kuzorota kila mwaka.Mm nawapa kila la heri Wakenya kupambania nchi yao mwaka huu, yale yaliyotokea Sri Lanka yatokee Kenya mana hawawezi kukubali kikundi cha watu wachache kujimilikisha Kenya ilihali majority of Kenyans die of hunger.
Nitawashangaa sn Wakenya this time kama hawatokinukisha, natumaini itakuwa zaidi ya Sri Lanka, serikali ya Kenya imewachezea Wakenya kwa muda mrefu sn, kwa pamoja tuseme inatosha, Wakenya ipiganieni nchi yenu hata ikiwezekana kwa machafuko ya Kimberly.Hawa watu wamenyonywa sana na wanasiasa wao hadi wamepoteza matumaini ya maisha ndio maana unaona hali za nyuso zao zilivyo.
Nategemea wataelewa unachosema na hawatokubali this time lazima pachimbike.Mwaka Juzi nilikua mara kwa mara nikiwaambia wakenya waingie barabarani Kama walivyofanya Sudan kwasababu hali ya maisha Kenya imeendelea kuzorota kila mwaka.
Huku Tanzania ukitaka kuwa tajiri, lazima ufanye biasha, kilimo, ivuvi au jambo lolote la kuuza bidhaa au huduma, Kenya ni tofauti, matajiri ni wanasiasa na viongozi, ujinga gani huo?
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
@Tony254Nategemea wataelewa unachosema na hawatokubali this time lazima pachimbike.
Sports ziliwashinda nyinyi kuleni wacha tukae njaa sisiForget about sports for now and deal with basic human need "Food"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app