Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Keshakubali tumewapiga kwa fly oversHaya ma flyover ya Chang'ombe na uhasibu tumepigwa, yanakaa low quality mno, utadhani tulijengewa kwa hisani. Sina uhakika sana na flyovers za uhasibu ila kwa sababu zinafanana na zile za Chang'ombe so nimezi include umo umo kwenye kundi la Chang'ombe coz zinafanana.
Ukiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina chongchung coodip1 na The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogoI did not object anything the WB or Ugandan government said on that matter. I was only concerned that you were against a WB report on this one while but are quick to embrace other reports by the same WB. It's called doublespeak.
About Kenya's population report, I dint mean you in particular when I said "you". It was a general term to mean Tanzanians. Tanzanians have rejected that report so many times here and I even used Kibera as an example. How many times has your people maintained that Kibera population is 2.5m people despite government reports saying otherwise?
They'll gang up against such data na wamalizie kwa kusema ni data za kupikwa. Very funny people. I wonder how every data that paints a bad picture of their country or one that talks about Kenya positively ni ya kupikwa!Ukiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina chongchung coodip1 na The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogo
Uganda = 4.82 births per woman. Tanzania= 4.83 births per woman (hatari sana). Kenya = 3.42 births per woman. Ukiwaambia wanazaana kama panya wanakasirika, wanaona kama unawatukana kumbe ni ukweli.
Uganda
View attachment 2284421
Tanzania
View attachment 2284422
Kenya
View attachment 2284423
Cc tuusan
joto la jiwe
Haya ma flyover ya Chang'ombe na uhasibu tumepigwa, yanakaa low quality mno, utadhani tulijengewa kwa hisani. Sina uhakika sana na flyovers za uhasibu ila kwa sababu zinafanana na zile za Chang'ombe so nimezi include umo umo kwenye kundi la Chang'ombe coz zinafanana.
Unabashiri na taaluma yangu?kazi unayoLeta numbers wacha mihemko wewe nurse
Ulifaa uweke ile yenu ndio ulinganishenakwambia iko na kichwa kama ya Fuso ama Isuzu cxz, lakini naona bado una try kubisha....
hii ni wewe.![emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]
View attachment 2284158View attachment 2284161
mjukuu wachana na mimi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mbona unaongea huku hujiamini, unaogopa nn sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheheeee nilipita kuna siku pale Chang'ombe kiukweli nilivyoiona tu nikajisemea hapa tumepigwa, sometimes ubora wa kitu unakiona kwa macho tu mana macho yetu ni kipimio kikubwa kuliko vya kitaalamu, anyway ngoja tuone huenda ni macho yangu tu mkuu.Mkuu nilitegemea ungetuwekea na evidence kabisa kuwa ni low quality mfano sehemu zilizobomoka, ratio za material yaliyotumika kama cement labda wametumia grade ambayo sio yenyewe, nondo labda wametumia za plastic. [emoji13][emoji13][emoji13]
Hivi wanahabari kipande cha morogoro-makutopora ujenzi ushavuka 85%hawa? By next yr trains zitakua zinafika hadi Makutopora SingidaHakuna train iliopelekwa Morogoro mzee, train inaenda Mwanza na DRC, sasa huko inakopita sio Morogoro peke yake inapita 60% ya eneo lote la Tanzania na inaelekea kwenye 70% ya population ya Tanzania
AmefarikiFormer Japanese prime minister, Shinzo Abe amepigwa risasi. Yuko katika hali mahututi.
Kuja nkuoe niwe nakulipa ksh 90,000 kwa mwezi plus marupurupuUnabashiri na taaluma yangu?kazi unayo
Kwa nini unataka kua mjinga kama magufuli?Bangi bila chakula mbaya sana
Iyo ndio hosp au jengo la mapokezi?The best and most advanced Cancer Center in the region iko Kenya. The only IMIC in the region iko Kenya. So you are telling us nothing.
Kuzaana sio tatizo kama Unayamudu maisha,hapa tatizo ni umaskini ndio unaofanya uone kuzaa sana ni tatizo,Kama income yako ni kati ya tsh 2M watoto wanne unawamudu,Na hata ikiwa chini ya 2M lakini juu ya tsh 1.5M unawamudu pia..Yani tusizae kwasababu wazungu hawazai?hapa sijaona ukimake any senseUkiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina chongchung coodip1 na The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogo
Uganda = 4.82 births per woman. Tanzania= 4.83 births per woman (hatari sana). Kenya = 3.42 births per woman. Ukiwaambia wanazaana kama panya wanakasirika, wanaona kama unawatukana kumbe ni ukweli.
Uganda
View attachment 2284421
Tanzania
View attachment 2284422
Kenya
View attachment 2284423
Cc tuusan
joto la jiwe
So sad!!Shinzo Abe, ambaye amepigwa risasi na alikuwa hali mahututi sasa ameaga dunia.
Hauna adabu, yaoe maisha yako kwanza before ufikiri ksh 90k ni pesaKuja nkuoe niwe nakulipa ksh 90,000 kwa mwezi plus marupurupu