Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu upuuzi wa kusema tickets are available at ATCL Head Office only imenishangaza sana wakati Emirates na airlines nyingi unabook online na kulipa online na kupata ticket online. Kwanza emirates inakutumia hio boarding pass kwa email. Yaani bado mnafanya mambo kizamani eti lazima mtu aende mwenyewe kwa ofisi yao ili apate ticket?
Hata TC pia tickets zinapatikana online na hata boarding pass pia zinapatikana online, hii ya Guanzhou huenda ni mpango mkakati huwezi juwa mana Tanzanians are very smarter nadhani unajua hilo.
 
Halafu kwa nini ticket zipatikane head office tu ? Online booking inabidi iwekewe mkazo kwa mfano mtu anatoka Zambia anataka kuunga ndege hapa hadi haende head office? Mhhh watu wa masoko wa ATCL inabidi wawaze beyond macho yao yanapoishia
Nakuambia online ticketing ipo mbona hunielewi mkuu, isipokuwa hiyo ya Guanzhou nami pia nmeshangaa sana sijajua mpango wao upoje.
 
Kinachonishangaza zaidi ni inakuaje TC wanagharama kubwa lkn wanajaza abiria yn sielewi inakuaje aiseee.
Wanaweka ticket price ya kipuuzi na kinyonyaji hivyo kwa sababu hawana competition. Kwa sababu bado nina account kule emirates nimeingia na kusearch Dar es Salaam mpaka Guangzhou ikanieleza kwamba Emirates haipigi hio route.
Screenshot_20220707-134909.jpg
 
Ulicho kiandika ndo kile wazungu wanakiita ' slave mentality'. Nyinyi mnawaona watz, wao wanawaona watumwa wao. Tanzania kuna historia ndefu sana ya utumwa kuliko nchi zote Afrika na waarabu wamefanikiwa kuwageuza nchi nzima kua colony yao mpaka ikulu inafanana na Masjid. Samia suluhu mwenyewe kasema wajomba zake bado wanaishi kwa watumwa oman.
Kuliko nyinyi mnavyoabudu wazungu . Yaani mkenya akiona mzungu sijui anamuona kama saints halafu akiongea kingereza ndio kama kafika peponi . Yaani mna slave mentality kubwa sana . Bora hata mbongo ukileta ujuaji hata ukiwa nani majority wabongo wanakupotezea ndio maana black american wengi wanaondoka kwa sababu ya ujuaji mwingi
 
Bado unaendeleza hisia za kikabila ulizozaliwa nazo, sio sisi tunawaona Watz bali ni Watz waliozaliwa Tz unataka niwaone sio Watz wakati wamezaliwa Tz we fala nn, unataka mm nifanyeje, nimpeleke Dubai wakati kazaliwa Tz? Peleka ukabila wako kwa mama ngina tafadhali.
Mimi nataka muwache kuwa milikisha uchumi na dada zenu kwao.
 
Mimi nataka muwache kuwa milikisha uchumi na dada zenu kwao.
Mtu anapambana kimpango wake wewe na ukabila wako unataka apokonywe alafu apewe nani? Au upewe wewe uliyezubaa zubaa ukitosheka na tumia mbili mia tatu unatopata?
 
Nakuambia online ticketing ipo mbona hunielewi mkuu, isipokuwa hiyo ya Guanzhou nami pia nmeshangaa sana sijajua mpango wao upoje.
Maanisha hiyo ya China unafikiri kwa watanzania peke kila kila jumapili unaweza pata abiria 200+ . Yaani inabidi wafanye JNIA kama gateway ya kwenda huko Asia kwa majirani zetu haswa kwa wasio na direct flight . Pia itawasaidia kuongeza biashara za hotel na nyingine indirect kama wanavyofanya Ethiopia
 
Kuliko nyinyi mnavyoabudu wazungu . Yaani mkenya akiona mzungu sijui anamuona kama saints halafu akiongea kingereza ndio kama kafika peponi . Yaani mna slave mentality kubwa sana . Bora hata mbongo ukileta ujuaji hata ukiwa nani majority wabongo wanakupotezea ndio maana black american wengi wanaondoka kwa sababu ya ujuaji mwingi
Inashangaza sana kuona mkunya anamwambia mbongo anaabudu wazungu na waarabu wakati asilimia kubwa ya Wakunya humu walipogundua kwamba Ichoboy ni mtz mwenye asili ya kiarabu basi wakaogopa sn na wakaanza kumshobokea, ni vile jamaa hana shobo na sio mtu wa kuwapelekea moto wanaume wenzake ila angekuwa bedui angewapelekea moto Wakunya wengi humu
 
Maanisha hiyo ya China unafikiri kwa watanzania peke kila kila jumapili unaweza pata abiria 200+ . Yaani inabidi wafanye JNIA kama gateway ya kwenda huko Asia kwa majirani zetu haswa kwa wasio na direct flight . Pia itawasaidia kuongeza biashara za hotel na nyingine indirect kama wanavyofanya Ethiopia
Yah hapo wamezingua, ila ngoja tuone.
 
Du hizi nauli ni noma

Airline zingine nauli kuanzia 15,000 Usd - 20,000 Usd kuna kipindi kama miezi minne nyuma mtu alinunua ticket economy kurudi kwao kwa rate hiyo. Hiyo ya ATCL mteremko halafu ni direct flight, Pita Amsterdam uone wanavyonya damu .
Zamani kabla ya Corona Usd 700 unaenda na kurudi . Mambo yamebadilika sana .
 
Inashangaza sana kuona mkunya anamwambia mbongo anaabudu wazungu na waarabu wakati asilimia kubwa ya Wakunya humu walipogundua kwamba Ichoboy ni mtz mwenye asili ya kiarabu basi wakaogopa sn na wakaanza kumshobokea, ni vile jamaa hana shobo na sio mtu wa kuwapelekea moto wanaume wenzake ila angekuwa bedui angewapelekea moto Wakunya wengi humu
Huku ninako tokea watu kama hao tunawaita waarabu koko ama mbwa koko, ukiwafatilia vizuri utakuta wana nyanya mweusi ambao wamewaficha na hawajivunii asili yao. Lakini ukija tz sasa hao ndo the richest class wakati kenya kazi yao ni kula mirungi na kahawa.
 
Back
Top Bottom