Mimi siongei mambo ya Eni. By the way mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kwenye huu uzi kupost mambo ya Eni floating lng plant na evidence ipo ukitaka. Hii Eni floating lng plant ni worth $9 billion. Hii Total lng plant ni worth $20 billion na ndio imekwama.Fuatilia hapa [emoji116]
View attachment 2281792Mozambique: Eni sees first offshore LNG cargo at end of third quarter - The Africa Report.com
Eni’s head of upstream says the start of LNG production offshore production at the end of the third quarter is a breakthrough for Mozambique.www.theafricareport.com
Sasa hiyo $9bn ya ENi na paraphernalia zake ndio ime boost position ya Mozambique kwenye ile list uliyoshangaa kwanini Mozambique iwe juu.Mimi siongei mambo ya Eni. By the way mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kwenye huu uzi kupost mambo ya Eni floating lng plant na evidence ipo ukitaka. Hii Eni floating lng plant ni worth $9 billion. Hii Total lng plant ni worth $20 billion na ndio imekwama.
Najua Kiswahili.Unazungumza kwa kiingereza tu.
Wanaozungumza Kingereza ni watu waliozaliwa Kenya[emoji849], nilikuwa sijajua hiliNajua Kiswahili.
Mimi nilizaliwa Kenya na kusomea huko.
😂😂 Najua Wakenya ni wapenda sifa hivyo nilijua mngeingia kwenye huu mtego wa kujisifia.Wanaozungumza Kingereza ni watu waliozaliwa Kenya[emoji849], nilikuwa sijajua hili
Hahaha punda huyo wananchi wanajikatia mapande ya nyama wakasafishe damu kuondoa sumu ya sukuma dailyWhat is this?
We mpumbavu hakuna city kubwa isio na urban farming 😂😂😂Hizo miji umetaja pia hazina upumbavu wa shamba za mihogo ndani zao
Tanganyika pakers ni pazuri na pana ample space .na pia..itafanya ile kawe road iwe 2x2 na brt phase 6 ijengewe haraka...amesema wapi?Mama ameshauri Dar es Salaam Indoor Stadium ijengwe Kawe pale Tanganyika Packers na Dodoma ijengwe Nanenane area.
Ni nini tena jamani si tulikubaliana kuendesha kwa speed ndogo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayari tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kunaenda kutokea vita chafu sanaa hapa Gen Sultan Makenga karudi msituni DRC!
wenye nchi wameamua ku-sabotage mradi wa Mchina!tayari tena 🤣🤣🤣🤣
Umeongea vizuri. Ili fedha ionekane imefanya kazi ni kuwa karibu na miradi, kuwasimamia kwa ukaribu wakandarasi ili wamalize kwa wakati na kwa ubora unaokubalika.Unaanzaje kutumia hela zako wakati kodi haujalipa..unafanya kama Magu alikuwa hakopi..cha maana nikufanyia kazi ya maana hela unayokopa..am not here kumtetea rais flani au kumponda..but kwa stage tuliyopo kuna neccesary mikopo ili kumalizia miradi
Magu alichukua mikopo naye tena commercial loans
1.Standard chartered 1.6bn
2.Credit suisse etc
2. Aslimia 60 ya wa Tz wanafanya kilimo unataka uanze kuwapeleka shule..kwann usitafute FDI itakayowanyaua wakulima huko nje
3.Walipa kodi hatuwezi ku foot bill ya miradi yote lazima ukope ila utumie hela vizuri kumaliza strategic projects ..mama hajaanzisha any big project mpya zaidi ya kumalizia za magu za SgR, na jnhpp
4.Kachukua mkopo IMF ..kaanza kujenga shule , huduma za maji na hospitali..kachukua 450mil usd usd kwa ajili ya vyuo world bank, kachukua mikopo afb ufaransa kwa ajili ya maji morogoro na shinyanga..unless hii mikopo haitafanya hizi huduma mm sioni baya
5.Cha maana ni kutumia Asia model kufanikiwa
cha kwanza kwa sasa ni kuimarisha Ajira kwa wa tz waliopo sasa hapa wengi ni wakulima na wana basic skills ili kutoa umaskini..kufungua sekta ya kilimo ambayo budget ime triple, kurudisha sector ya textile imdustries etc
cha pili kwa watoto wetu awamu ijayo kuwapa elimu ya masomo ya computer kuanzia wadogo ..maana dunia inaeleka huko .
cha tatu kwa wahitimu wetu kupeleka kuwasomesha nje ..hasa swala la madini , Gas extaction and processing na kuwa tie kwenye 5 to 10 year contact warudi ku develop nchi yetu ..hatuna ujanja..if you cant beat them join them
Tukijibana sana bila kuongeza wigo wa kodi..ambacho hicho ndo nalaumu Tz..hatutaweza kumalizia miradi haraka..na bado hatuna wasomi wakutengeneza hata machine za kuchimba..cha maana kusomesha watu nje warudi watengeneze vitu huku ndani
Hao dp wako vizuri,nazifahamu bandari kadhaa za ulaya jamaa wanaziendesha wao,kwa hapo nawaunga mkono kenyahii habari ikoje?? na je kwema😂😂😂
View attachment 2281292
🤣🤣🤣 Peleka upuuzi mbele wewe, nje ya DAR kuna Hospitali kubwa (hata ndani ya Nairobi huwezi pata) zenye facilities za kutibu magonjwa makubwaMombasa Cancer Center
Bongolala land huwezi facility kama hii outside of Dar is a slum.
Alikua chigali huyo mwamba 😂kunaenda kutokea vita chafu sanaa hapa Gen Sultan Makenga karudi msituni DRC!
Kwahiyo anadhani wanachukua ardhi yenye mashamba, makazi, hadi kuhamisha makaburi bila kutoa fidia kweli? Alisikia wapi hiki kitu,hawaanzi mradi bila kutoa fidia kwa watu wanaopitiwa na miradi.Huyo dogo ni kondoo sana sielewi mbona unapoteza muda wako kumjibu.
Tangu abishe mixer mishipa kumtoka kuwa miradi ya Tanzania huwa hawalipi fidia kwenye maeneo iliyopitiwa na miradi mfano SGR na ndio maana miradi ya Tanzania sio ghali imebidi nimpuuze maana ni mpumbav bora angekuwa mjinga angefundishika ila sasa ni mpumbav na mjuaji wa kishamba na siku zote bora mjinga kuliko mpumbav.
Yaani wanasiasa wao wanawadanganya kama makondoo ili wasilalamike miradi ikiwa ghali kwa kuongezwa cha juu na walivyo makondoo hata hawafanyi tafiti
[emoji23][emoji23][emoji23]