Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
Kenya media hawafichi habari kama Danganyika media. Kenya hakuna CCM ya kufunga wanahabari.
Watanzania wakitaka kujua habari za kweli kuhusu nchi yao lazima waisome na kutazama kwa Kenya media. Yani Kenyan media ina program wakenya na watanzania kwa pamoja ndio maana watanzania wengi wanaogopa na kuona kwamba Kenya ni superior kushinda Tanzania sababu wameambiwa na kukaririwa hivyo na TV kutoka wakiwa wadogo. Mdanganyika wa kawaida anatamani kuishi Kenya. Its called brainwashing.
Kenya ina soft power over tanzania. TV za Kenya zinaunda hadi taste na preference ya mtanzania ambaye anaitazama kila siku kutoka akiwa mdogo kwa hivyo huyu mdanganyika atatamani kununua na kutumia vitu kutoka kenya
Mfano serikali ya Danganyika imetumia picha za SGR ya Kenya mara nyingi kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa eSGRa yenuView attachment 2279011
Nisharudi mkuu, Zanzibar ni very expensive nimebaki na views za hatari kama hizi [emoji116][emoji116]Ulirudi Dar ama bado unajivinjari huko Zanzibar?
Yah huwa wanapicha kali za bongo aisee me mwenyewe nmeisave hiyo.Una picha nzuri broo
Hizo mitungi za chang'aa zinapiga kazi safi, nyinyi mukipiga testing for two years utadhani munatafuta dawa ya ukimwi kwa reli.
Sasa kama Kenya hatuna lishe bora, chakula ya kutosha, matibabu bora sasa mbona life expectancy ya Kenya ipo juu kushinda ya Tanzania? By the way HDI inazingatia vigezo vitatu na moja yao ni life expectancy. Wakenya tunaishi muda mrefu kuwashinda. Nyinyi mnakufa mapema kama nzi. Nchi iliyoendelea watu wake wanaishi kwa muda mrefuUtajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?
Aisee. Naona unakula mali yako pole pole.Nisharudi mkuu, Zanzibar ni very expensive nimebaki na views za hatari kama hizi [emoji116][emoji116]View attachment 2280800View attachment 2280801View attachment 2280802View attachment 2280803View attachment 2280804
Atakuambia hayo ni mambo ya makaratasi 😂 😂 😂😂Sasa kama Kenya hatuna lishe bora, chakula ya kutosha, matibabu bora sasa mbona life expectancy ya Kenya ipo juu kushinda ya Tanzania? By the way HDI inazingatia vigezo vitatu na moja yao ni life expectancy. Wakenya tunaishi muda mrefu kuwashinda. Nyinyi mnakufa mapema kama nzi. Nchi iliyoendelea watu wake wanaishi kwa muda mrefu
View attachment 2280805View attachment 2280806
Cc Nicxie
Pia nilifanya utalii wa baharini wakati narudi, Kilimanjaro VII, Tz is very beautiful Wakenya wenzako cku hz Dubai yao ni Tz wewe unachelewa nn bwana Tony [emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91]Ulirudi Dar ama bado unajivinjari huko Zanzibar?
Huo ni umeme mdogo sana hivi unajua kuwa migodi mingi ya dhahabu na madini mengine bado haijaunganishwa kwenye national grid due to low capacity. Hizo extra 2000MW zitakuwa easily absorbed kwa viwanda vinavyojengwa kila mahali pwani na maeneo mengine pia migodi itakapounganishwa mahitaji bado yatakuwa juu sana.Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado wanasubiria mchina aje awamalizie
Kuna tofauti baina ya kupima viwanja na kupanga mji ....tatizo ni mipango mijiYah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.
Tusichoke kupiga kelele kuhusu ujenzi holela ni dhambi kubwa kwa nchi inayoendelea kwa kasi kama nchi yetu. Inakera sana kuona bado kuna ujenzi holela.
Yah mm kila mwaka kabla ya kuanza nusu ya pili ya mwaka huwa nafanya utalii wa ndani mkuu, nadhani baadaye nitaanza utalii wa nje kama Dubai na China kwani issue ni kujipanga mdogo mdogo tu.Aisee. Naona unakula mali yako pole pole.
Owaje hapa wakatae sasa 😂😂😂😂 naomba hzi picha muzisave zitasaidia baadae 👇👇👇
View attachment 2280586View attachment 2280587View attachment 2280588View attachment 2280589
Key words:waje hapa wakatae sasa 😂😂😂😂 naomba hzi picha muzisave zitasaidia baadae 👇👇👇
View attachment 2280586View attachment 2280587View attachment 2280588View attachment 2280589
Aiseeh ni kuzuri. Nikipata leave nitatembea huko.Pia nilifanya utalii wa baharini wakati narudi, Kilimanjaro VII, Tz is very beautiful Wakenya wenzako cku hz Dubai yao ni Tz wewe unachelewa nn bwana Tony [emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91]View attachment 2280808View attachment 2280809View attachment 2280810View attachment 2280811View attachment 2280812View attachment 2280813View attachment 2280814
1.Mhh..how many megawatts does a full functional SGR consume..give or take 300MW to 500MW line nzima ikiwa operational..Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
Da ..mimi natamani na brt yetu phase 2 ikamilike tena wanunue mabasi yenye rangi tofauti na haya ili tuzidi kuwachanganya dunia ...rangi iwe njano na nyekundu ...ili tupate kitu cha kuonyesha africa na duniaSioni sehemu Kenya itakaribia Tz baada ya SGR kuanza kufanya kazi.
Phase 2 wamepamba kasi kaka..Daraja pale la gerezani ndo kukubwa kulikobaki..na kuweka pavements za watu kupita na reserve roads..Da ..mimi natamani na brt yetu phase 2 ikamilike tena wanunue mabasi yenye rangi tofauti na haya ili tuzidi kuwachanganya dunia ...rangi iwe njano na nyekundu ...ili tupate kitu cha kuonyesha africa na dunia
Keshakubali dar kumejaa ma slums kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo ni kwamba hatujapata mkuu wa nchi wa kuliongelea hili suala wazi wazi, inakera sana ofcz ujenzi wa kiholela ni tatizo la Afrika nzima ila cc tutoke huko.
Unajua hapo utavuka mitaa mingap hadi ufuke posta?sasa hapa kuna mawili either unataka kujua au hujui unajifanya unajuaHizo buildings in the background sio posta? TPA inapatikana Magomeni?
View attachment 2280796
Alafu ilo loco ni la kenya