Embu angalia jibu langu hapo chini halafu bado unathubutu kuniuliza "kwani Obama ni muafrika" unataka nikuchukuliaje?Mimi na wewe nani afunze mwengine kizungu?
naona unabishana na zwazwa 🤣🤣Embu angalia jibu langu hapo chini halafu bado unathubutu kuniuliza "kwani Obama ni muafrika" unataka nikuchukuliaje? View attachment 2280175
Hivi kweli rais wa nchi anaweza kuzungumzia jambo kubwa Kama hili bila kupata ushauri wa kitaalamu toka kwa wachumi?World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusanUganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
Kwanza get your facts right ndio uchangie vizuri bila bias. Nani kakuambia kuwa Tanzania ina produce only 1400MW. Angalia capacity yetu hapo in 2021 then add hizo ambazo ni off grid za viwandani.Kwa kujitetea mpo vizuri. Sasa ukijumlisha hio 300 MW kwa hio 1,400 MW huoni inakuja 1,700 MW pekee? Huoni bado hamjafikia Kenya hata tukijumlisha hio gas to power unayozungumzia. Usinidanganye kwamba mna consume 2,000 MW kwa sababu hamzalishi 2,000 MW. Mnazalisha chini ya 2,000 MW ya umeme. Hata tukiwapa hio 1,700 MW bado hamtufikii. Kwa kuproduce, Kenya inaproduce 3,000 MW of power. 400 MW inapotea kwenye transmission losses. 600 MW ni surplus na ipo standby.
Hii enyewe bado sio fact, kwasababu last time nilimskia mama akisema kwasasa bongo tunazalisha 1900+ MWKwanza get your facts right ndio uchangie vizuri bila bias. Nani kakuambia kuwa Tanzania ina produce only 1400MW. Angalia capacity yetu hapo in 2021 then add hizo ambazo ni off grid za viwandani.View attachment 2280188
Yani ni bonge la kenge halafu Tomaso.naona unabishana na zwazwa [emoji1787][emoji1787]
Acha maneno mengi unaoneshwa situation on the ground unataka karatasi hebu pitia hizo basi ujiridhishe halafu uki google tuu Dodoma City Master Plan unaipata mpaka na report zake.Kenge bibi yako.
Mimi sitaki hadithi za kusimuliwa na watu, na hata kama nikienda Dodoma kuangalia kinachoendelea haitanisaidia kitu. Ninachotaka ni kusikia na kuona mpango na mikakati ya serikali ya kuupanga mji. Nione policies zinazoendeshwa na wizara ya ardhi kuhakikisha master plan inafuatwa. Nione sustainable development projects being drafted and realized. Nione transport system masterplan waliyonayo na ni lini wanategemea kuanza kutekeleza.
Unajua maana ya slip? Hio meli mpaka ibebwe na crane ndo iingie baharini. Kawaida ya slipway ni kwamba maji yanajazwa alafu meli inaingia baharini yenyewe.
Wewe utasumbuka hadi lini? Una lipi la kusema kuhusu hizi zenu? Mbona Kijiko ya nyama na posta zote ziko ndani?mbona na upper hill na CBD ziko ndani y??🤣🤣 kwann useme kilimani wakat zote zinaonekana hapo
😃😃😃World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusanUganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
No wonder nikiwa tanga nilikua naskia kikabila kama ya kidigo hivi, it sounded familiarMost definitely, hata uko ubabani kwetu kuna ka eneo kanaitwa kwale, wadigo inavyosemekana ni indigenous kenyans, before the civil war in Mombasa (according to history) wadigo walihamia tu Tanga, wakapigana vita na wabondei (wakazi wa Tanga mjini wakati huo) then wadigo wakabaki Tanga na wabondei wakakimbilia sehemu panaitwa Muheza (it's now one among the districts in Tanga region)
Si umeona picha ya kibabe hii jinsi mji ulivyopangika? Asante kwa picha.Wewe utasumbuka hadi lini? Una lipi la kusema kuhusu hizi zenu? Mbona Kijiko ya nyama na posta zote ziko ndani? View attachment 2280223View attachment 2280231
Nini kimepangika hapo bongolala? Au umekuja tu kustiri mwenzako baada ya kumuumbua? Tangu lini Dar na planning zikawa kwenye sentensi moja?Si umeona picha ya kibabe hii jinsi mji ulivyopangika? Asante kwa picha.
World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusanUganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
Anaweza, magufala alisema Danganyika ni middle income na ukweli ni kwamba danganyika ni LDCHivi kweli rais wa nchi anaweza kuzungumzia jambo kubwa Kama hili bila kupata ushauri wa kitaalamu toka kwa wachumi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app