Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maumivu kwa bongolalas. 🤣 🤣 🤣 Sikuizi we are conquering Africa, mambo ya East and Central Africa tumewachia minions like TZ.

Image
Na picha ya render badala ya kitu halisia! Mnaficha shoddy work?
 
Hio ni gazeti ya uingereza, enda uwapatie hayo mapendekezo yako ya kipumbavu.
Naona propaganda zenyu zimefika SA! hebu leta picha za the real thing tuone inavyokaa! ndo hii sio?

maxresdefault.jpg

Now count the lanes halafu u-compare na the foto in Sunday express! Then look at those round/oval exit ramps! The chinese couldn't make proper oval shapes!
 
Show me any clover leaf interchange in Tanzania and Zanzibar nifunge account sahii? Wewe endelea kulialia kama kunguru. 🤣 🤣 🤣
 
Show me any clover leaf interchange in Tanzania and Zanzibar nifunge account sahii? Wewe endelea kulialia kama kunguru. 🤣 🤣 🤣
Of such poor quality imejengwa na wafungwa wa kichina? Hell no huwezi pata Tanzania!
 
Hii ni kawaida kwa mtu yeyote.. inatokeaga.. but mtu kama msomi kbl ya kupost kichwan kina kitu kinaitwa word consiousness unatakiwa uizingatie.. lkn sometimes unaweza ukawa na hio word consiousness bado akili automatically ikakusemesha uko sahihi, then ukapuuzia hata kuangalia hata mtandaoni kama iko sahihi au la.. mostimes, zingatieni ujumbe na si misspelling na kumjudge mtu vibaya.. unaweza ukajudge mtu vibaya, ila mwenzako life yake iko poa sana maradufu hata yako.. so tujifunze tutojudge mtu vibaya kwa namna yoyote
Mbongo angeongea English mbovu kwa namna huyu waziri wa kenya anavyoongea kiswahili kilichooza namna hii Wakunya wasingemuacha

Sasa kama kiswahili anaongea kibovu hivi na English itakuaje sababu nae naona mother tongue effects

Back
Top Bottom