Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FOIBK9ZWUAImMny





E7c5aa0WYAgWJkN


Comparing those to this how many oxygen tanks do u see?
Benjamin Mkapa Hospital
FWkhfJqXEAEij6S



Bugando Hospital
E5sGbLVWUAcB5re


D_kaT_iWsAAWj3q



KCMC Hospital
E6_fuDHWUAUmX2r




Mbeya Hospital
E7WqqRPXoAEGYI6


E7WqqRWXMAEgVtL



Hiyo ya nakuru ni plant ya kitambo saa hii wanajenga nyingine
FB_IMG_16566924281205384.jpeg

Kwaivo nakuru itakua na plants mbili
 
Kawaida sana Maana watanzania wengi hawazungumzi Kiswahili fasaha. Lakini mtu mwenye title yake ni muhimu kuwa na ufasaha wa lugha.
Hii ni kawaida kwa mtu yeyote.. inatokeaga.. but mtu kama msomi kbl ya kupost kichwan kina kitu kinaitwa word consiousness unatakiwa uizingatie.. lkn sometimes unaweza ukawa na hio word consiousness bado akili automatically ikakusemesha uko sahihi, then ukapuuzia hata kuangalia hata mtandaoni kama iko sahihi au la.. mostimes, zingatieni ujumbe na si misspelling na kumjudge mtu vibaya.. unaweza ukajudge mtu vibaya, ila mwenzako life yake iko poa sana maradufu hata yako.. so tujifunze tutojudge mtu vibaya kwa namna yoyote
 
Hiyo wengi umenyofoa huko nyuma ama?
Yes, nimenyofoa nyuma kwako.

Labda tuzungumze na statistics. Kabila kubwa zaidi Tanzania ni Wasukuma. Kuna wasukuma zaidi ya milioni kumi Tanzania. Nimekaa na Wasukuma muda mrefu kutambua Kiswahili chao sio fasaha. Sikiliza hotuba za Magufuli pia utatambua. Kwa hiyo “wengi” is justified!
 
Yes, nimenyofoa nyuma kwako.

Labda tuzungumze na statistics. Kabila kubwa zaidi Tanzania ni Wasukuma. Kuna wasukuma zaidi ya milioni kumi Tanzania. Nimekaa na Wasukuma muda mrefu kutambua Kiswahili chao sio fasaha. Sikiliza hotuba za Magufuli pia utatambua. Kwa hiyo “wengi” is justified!
Hapo nimekuelewa R badala ya L inatoka huko Kanda ya Ziwa! Basi msiseme Watanzania wengi! Suala la Watanzania wengi linatoka wapi wakati kiidadi tupo zaidi ya milioni 63?
 
Hii ni kawaida kwa mtu yeyote.. inatokeaga.. but mtu kama msomi kbl ya kupost kichwan kina kitu kinaitwa word consiousness unatakiwa uizingatie.. lkn sometimes unaweza ukawa na hio word consiousness bado akili automatically ikakusemesha uko sahihi, then ukapuuzia hata kuangalia hata mtandaoni kama iko sahihi au la.. mostimes, zingatieni ujumbe na si misspelling na kumjudge mtu vibaya.. unaweza ukajudge mtu vibaya, ila mwenzako life iko poa sana maradufu hata yako
Ni kweli ulichosema. Na Ndio Maana nikasema ni kawaida.
 
Back
Top Bottom