Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..

Etihad airways ilitengeneza loss ya $476 million in 2021.
Screenshot_20220630-113219.png

👇 👇 👇 👇
 
so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..

Emirates airline, ambayo ni one of the biggest airlines in the world imetengeneza loss ya $1 billion for the year ended March 31 2022.
Screenshot_20220630-113742.png
Click link usome zaidi 👇 👇 👇 👇 👇

Emirates Group Announces 2021-22 Results.
 
so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..

Niendelee au niwachie hapo? Bado unapinga kwamba airline industry ni industry ya kutengeneza losses? Ni upumbavu wa hali ya juu kutegemea kwamba ATCL itatengeneza profit.
 
sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?
Hata huko USA ilibidi serikali ya USA iingilie kati na ku-bail out airline industry baada ya 9/11 terror attack. Serikali ya USA ilitumia a total of $15 billion to bail out the airline industry. Sijui kwa nini unasingizia corona. Hii industry ni ya ujinga. Janga lolote likitokea industry inaanza kutengeneza losses.
👇 👇 👇

Do Government Bailouts Work? Ask the Airlines.​

By
Scott McCartneyFollow

September 22, 2008

SHARE

TEXT

Here’s a government bailout program that did work, at least financially: The airline rescue of 2001.
After the Sept. 11 terrorist attacks, Congress propped up the imploding airline industry with $5 billion in cash payments for lost revenue while the airspace was shut down, insurance guarantees and liability protection and a $10 billion loan guarantee program.
 
That means you want recent data from me, that is not my responsibility, it is you who brought the topic, if you can't get them, that means your allegations don't hold water.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I am not alleging anything bongolala, unless you don't know the meaning of that word allegation. I am giving WB data
 
Niendelee au niwachie hapo? Bado unapinga kwamba airline industry ni industry ya kutengeneza losses? Ni upumbavu wa hali ya juu kutegemea kwamba ATCL itatengeneza profit.
Huu ni wivu ndio unaokutawala, Mashirika mengi imara yanaendeshwa kwa faida ukiacha vipindi maalum Kama kipindi cha Corona, jirani yenu Ethiopia ni mfano mzuri.

Sasa Kama mnaona ni biashara ya hasara kwanini bado mnatumia pesa za wananchi kuwekeza ktk biashara ambayo mnajua mtapata hasara, kweli ninyi mpo na akili?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ni nature ya hio industry. Sio mambo ya KQ. Industry ipo hivyo. Most of hizi airlines huwa zinapata losses. It is a fragile industry.
Biashara zote duniani no ngumu, lazima kujipanga, Kenya kila biashara ya serikali inashindikana, Uchumi supermarkets, Mumias sugar, Galana Kulalu, Metre gauge railway. The list is endless

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?
Uwache ubishi wakijinga, umeandikiwa 6yrs in a row alafu bado unasema corona. Jf wangeleta option ya ku downvote stupid comments zisionekane kabisa.
 
Back
Top Bottom