Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Kwa major alirlines ni airline moja tu Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
Huu ni wivu sio vinginevyo, Sasa mbona mnaendelea kuwekeza ktk KQ Kama mnajua ni makosa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?
List of 26 big airlines in the global arena that have gone bankrupt in the last 30 years. Note that some of these airlines were much bigger than your tiny ATCL and yet they still made enough losses to go bankrupt. For example Air Italy and Air Berlin. Hii industry ni brutal. Sio industry ya kitoto hii.
 
Kwani wakenya wakenda kufanya kazi nje wanabadilisha uraia? Why should someone stay at home jobless yet amepata opportunity ya kupiga pesa mrefu nje with more skills and expertise
Sasa hio inakuwashia nini? Nchi ni yetu. Mbona nyie mumeamua kujifungia ndani kama mbuzi na hatujawazuia?
 
Huu ni wivu sio vinginevyo, Sasa mbona mnaendelea kuwekeza ktk KQ Kama mnajua ni makosa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nimesema kwamba industry hii ina tendency ya kutengeneza losses. Sijasema kwamba ni makosa kuwekeza kwenye KQ. Serikali inaweza kuamua kutumia pesa yake kuisupport airline hata kama inatengeneza losses kwa sababu mbali mbali.
 
so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Watanzania hawatembei kamwe hizi nchi sijui unatarajia miujiza gani ifanyike......ukiona air traffic ipo SA airports na bado SAA inashindwa kusurvive ndo utajua how tough hii industry ipo
 
joto la jiwe nakuhakikishia jambo moja na hii nipo tayari kubet na wewe pesa nyingi. Mwaka huu wa 2022, Wakenya watatuma nyumbani remittance ya zaidi ya $4.1 billion. Hii nipo sure kabisa. Kumbuka mwaka wa 2021 ilikuwa $3.7 billion. Kama unapinga hii figure ya $4.1 billion basi tubet. Usicheze na Kenya wewe, diaspora population yetu ni kubwa.
Na Mimi ninakuhakikishia kwamba, mwaka huu zaidi ya wageni 500k wakiwemo wakenya watakuja kutibiwa Tanzania.

Balance of trade Kati ya Kenya na Tanzania itazidi $500M na wakenya wengi watazidi kukimbilia Tanzania kufanya kazi ili watume remittances Kenya. "Tunajenga uwezo wa ndani"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Na hawa hatutaki kuwaona tena huku, waambie waende kutibiwa Exford

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Kwani wanakuja Tanzania kutibiwa bure au wanatibiwa kwa pesa zao? Wachanga ujinga wakati mwingine. Hata mkiwafukuza, watatumia pesa zao kutibiwa kwingine. Hawatibiwi bure.

Ni kama ule upuuzi wenu wa kukataa kutuuzia mahindi mkifikiri kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopanda mahindi. Kumbe kuna Mexico na Uganda na Zambia ambao wapo tayari kutuuzia na pesa ya kununua tunayo.
 
Watanzania hawatembei kamwe hizi nchi sijui unatarajia miujiza gani ifanyike......ukiona air traffic ipo SA airports na bado SAA inashindwa kusurvive ndo utajua how tough hii industry ipo
Sasa kwanini mnaendelea kupoteza pesa za serikali kwa kuwekeza kwenye KQ wakati mumeshajikatia tamaa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Kwa major alirlines ni airline moja tu Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
Sio kwa bumber tourists arrivals after The Royal Tour. Hiyo notion ya hasara you can got with it to the grave.
 
Etihad airways ilitengeneza loss ya $476 million in 2021.
View attachment 2277311
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kazi ya national airline ni kutoa huduma kwanza faida comes second due to multiplier effect of the industry in the economy.
 
Sio kwa bumber tourists arrivals after The Royal Tour. Hiyo notion ya hasara you can got with it to the grave.
South Africa, Egypt na Morocco zinapata ziadi ya 10m tourists per year ila national airlines zao zinastruggle
 
Back
Top Bottom