Thats why we dissolved the company and started afresh you need to do the same for KQ usife na tai shingoni.
Thats why we dissolved the company and started afresh you need to do the same for KQ usife na tai shingoni.
Dom coming up nicely inaanza kuonekana kama Washington DC alimradi wasijenge magorofa marefu tuu kwe mji wa serikali.
wanataka kununua flying taxis kwa mkopo toka Brazil! 🤣 🤣 🤷♂️ 🤷♂️KQ needs to be dissolved and reconstituted afresh maana hiyo loss sink waliyokuwemo ni deep sana 10yrs is too long for any business otherwise it will keep on minting losses year in year out.
uwezi ku-limit maghorofa marefu utakuwa una-limit multinational companies kuja what if wanahitaji ofisi nyingi kwenye jengo moja kwenye capital city? Anayetaka kujenga na ana uwezo ajenge government city Mtumba inaweza kuwa restricted ila financial districts si busara kuzilazimisha kutojenga majengo marefu! Tembea uone London, Frankfurt, Berlin hata Paris kuna section ya mji kuna majengo marefu!Dom coming up nicely inaanza kuonekana kama Washington DC alimradi wasijenge magorofa marefu tuu kwe mji wa serikali.
so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Wanaongeza nundu ya madeni tena duh kweli management ya KQ ndio tatizo hapa.wanataka kununua flying taxis kwa mkopo toka Brazil! [emoji1787] [emoji1787] [emoji2369] [emoji2369]
Hizi ni make ya BombardierBehewa za double decker zinazotarajiwa [emoji116] [emoji116][emoji116]View attachment 2277407
ATCL ni tofauti na ATC mzee!Air Tanzania imemake profit mwaka gani since being launched in 1977??
Nimesema government city majengo ndio yawe mafupi lakini sehemu nyingine ni ruksa kujenga urefu wowote na pia sidhani kama Dom wana designated financial district kwenye plan zao.uwezi ku-limit maghorofa marefu utakuwa una-limit multinational companies kuja what if wanahitaji ofisi nyingi kwenye jengo moja kwenye capital city? Anayetaka kujenga na ana uwezo ajenge government city Mtumba inaweza kuwa restricted ila financial districts si busara kuzilazimisha kutojenga majengo marefu! Tembea uone London, Frankfurt, Berlin hata Paris kuna section ya mji kuna majengo marefu!
inayo google utaona masterplan ya dodoma city!Nimesema government city majengo ndio yawe mafupi lakini sehemu nyingine ni ruksa kujenga urefu wowote na pia sidhani kama Dom wana designated financial district kwenye plan zao.
jipya hili? mbona joint welding yake imekaa kishokashoka?Behewa za double decker zinazotarajiwa 👇 👇👇View attachment 2277407
Aah sifahamu mkuuHizi ni make ya Bombardier
Izi si Ndio zile za mtumba zinazokuja agostijipya hili? mbona joint welding yake imekaa kishokashoka?
hapo nimekuelewa maana hata milango inakaa hivyo!Izi si Ndio zile za mtumba zinazokuja agosti