Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uwezi ku-limit maghorofa marefu utakuwa una-limit multinational companies kuja what if wanahitaji ofisi nyingi kwenye jengo moja kwenye capital city? Anayetaka kujenga na ana uwezo ajenge government city Mtumba inaweza kuwa restricted ila financial districts si busara kuzilazimisha kutojenga majengo marefu! Tembea uone London, Frankfurt, Berlin hata Paris kuna section ya mji kuna majengo marefu!
Umeenda mbali. Ungemuambia atazame Nairobi Upperhill.
Cc coodip1
 
At last someone is telling first son some senses!
FWfEk01XkAAF_JM
 
GoK haiwezi kuruhu huo upuuzi. Flying drones ndio nini? KQ wafocuss kutoka kwenye loss kwanza.
Mzee nashukuru umeona hii kitu unajua unakuta kampuni za kutengeneza hizo flying taxis wameshatoa hongo kwa viongozi wa KQ na ministry of Transport na pia tayari Benki za kutoa mikopo zishaandaliwa! Hapo mkifumba macho na kufumbua deni la KQ limeongezeka!
 
Tatizo Dodoma city hamna slums ndo maana sikuiweka nairobi kwenye comparison! Usianzishe ligi sasa! 🤣 🙏

Dodoma is coming up nicely! Machinga market!



Yaani hapo 👆 ni kama uchukue wale wa Gikomba uwajengee stalls!

Babu usitudanganye., standards za makazi Dodoma kwa wingi na upana ni hizi👇👇😜😂😂😂, in Tanzania hizi sio slums, in the global standards, Dodoma residential is slumy 70% plus.., uongo wacha.., naumbua propaganda na majigambo ya ujinga., 😂 😂 😂 😂 😂 standards ni zile za Dar.., estates zenye mnajenga can't settle even 5% of the populace.,
1656596602982.png

1656596611461.png
 
Babu usitudanganye., standards za makazi Dodoma kwa wingi na upana ni hizi👇👇😜😂😂😂, in Tanzania hizi sio slums, in the global standards, Dodoma residential is slumy 705 plus.., uongo wacha.., naumbua propaganda na majigambo ya ujinga., 😂 😂 😂 😂 😂 standards ni zile za Dar.., estates zennye mnajenga can't settle even 5% of the populace.,
View attachment 2277505
View attachment 2277506
Yaani unaona kabsaa mitaa na nyumba zipo kwa mpangilio japokuwa ni kuukuu na unaamua kuita slum!
 
Back
Top Bottom