Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuongea nao inamaanisha rushwa sawa ila gari mpya kuingiza Tanzania kupitia bandari za Tanzania au mipaka ya nchi kavu au airports bado kodi ni ileile.
Unapoingiza gari kupitia mipakani kawaida hakuna "storage costs", hata ukichelewa kwenda kulichukua sio Kama bandarini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sema wametukuta sisi wastaarabu sana ila ingekuwa kwao ndio tumefanya hivyo lazima vagi ingetokea.
Sasa mkuu pale si njiani,hivi kwa mfano wewe ndio unaishi mtaa wa twiga ukiwa unatokea au unaenda airport utapita njia gani 😂😂
 
Kwahiyo nchi yenu inatenga bajeti kubwa ya Elimu kwa lengo la kupata remittances badala ya kupata wataalamu wa kukuza uwezo wa ndani wa nchi yenu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
joto la jiwe nakuhakikishia jambo moja na hii nipo tayari kubet na wewe pesa nyingi. Mwaka huu wa 2022, Wakenya watatuma nyumbani remittance ya zaidi ya $4.1 billion. Hii nipo sure kabisa. Kumbuka mwaka wa 2021 ilikuwa $3.7 billion. Kama unapinga hii figure ya $4.1 billion basi tubet. Usicheze na Kenya wewe, diaspora population yetu ni kubwa.
 
SAA hiihii iliyo-collapse na kuwa na ndege na chini ya 10 sasa!

Kwenye ndege hapa naona watu wamekariri majina tu, but anyhow, sisi tuendelee kuwekeza tu kwenye aviation, nunua ndege za kutosha, boresha miundombinu na aviation colleges kama NIT, ngoja wenyewe na dunia wabakie tu hivyo hivyo na ujinga wao, came to find out ATCL ni GIANT wanabaki wanaulizana how was that possible.
 
Screenshot_20220630-103517.jpg
 
Kwenye ndege hapa naona watu wamekariri majina tu, but anyhow, sisi tuendelee kuwekeza tu kwenye aviation, nunua ndege za kutosha, boresha miundombinu na aviation colleges kama NIT, ngoja wenyewe na dunia wabakie tu hivyo hivyo na ujinga wao, came to find out ATCL ni GIANT wanabaki wanaulizana how was that possible.
Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Kwa major alirlines ni airline moja tu Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
 
Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Airline moja Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
Au sio kwa vile KQ imefika mwaka wa 10 ikigonga loss!
 
Ni nature ya hio industry. Sio mambo ya KQ. Industry ipo hivyo. Most of hizi airlines huwa zinapata losses. It is a fragile industry.
so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
 
Back
Top Bottom