Hapo ndipo ninashangaa.Inawezekana hili jambo lipo kwa manufaa ya upande mmoja. Warudishwe tu nyumbani kama ni kweli tutawapokea, tena usafiri ni rahisi kwa njia ya barabara siyo ndege.Serikali ya Kenya inachoshindwa kuwazoa hao ombaomba hapo mjini ni nini? Pick them up from the streets and repatriate them the good thing tuko karibu gharama ya repatriation ni ndogo sana.
Hawapendwi???Waga tunapiga stori na mmoja, kwao ni moshi na alikuja kenya akiwa 17, sahivi ana miaka kama 50. Kila mwaka lazima afike kwao alafu anarudi kenya. Yuasema bongo hakuna mzunguko wa pesa na kule wachagga hawapendwi na jamii zingine ndo manake wanakimbilia Kenya.
Maneno yake.Hawapendwi???
Hawajui anaongea tuuuHuyo mbwa anasema Wahehe ni ma lazy? Au sijamsikia vzr.
Thubutu...!Embu tuone hizo NGOs zao sasa zikishupalia hili la human trafficking tuone.
Kwa hivyo mzee wewe unaona nacheka cheka na wewe unanidharau sio? Hii hapa long-term residence permit card yangu ya Czech Republic. Mzee mimi nimetoka nje ya nchi yangu na kuishi huko miaka miwili sio kama wewe ambaye hujawahi kutoka nje ya Tanzania.Sasa kwnn unashindwa kuelewa misemo mepesi ya ki aviation rafiki yangu.
Watz weng walikua wanatumia mombasa kuingiza magar nahisi kodi za tz zlikua mzikiHajadanganya kuna kipindi cha nyuma baadhi ya mizigo ya TZ ilikuwa ikipitia bandari ya Mombasa hasa magari ya wafanyabiashara kwa sasa hivi sijui kama bado wanaitumia.
Wakunya wa human rights wataandamana!Hapo ndipo ninashangaa.Inawezekana hili jambo lipo kwa manufaa ya upande mmoja. Warudishwe tu nyumbani kama ni kweli tutawapokea, tena usafiri ni rahisi kwa njia ya barabara siyo ndege.
Sasa kwnn hujui misemo miepesi ya ki aviation?Kwa hivyo mzee wewe unaona nacheka cheka na wewe unanidharau sio? Hii hapa long-term residence permit card yangu ya Czech Republic. Mzee mimi nimetoka nje ya nchi yangu na kuishi huko miaka miwili sio kama wewe ambaye hujawahi kutoka nje ya Tanzania.
View attachment 2275686
Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Wanajifanya hawajaona, wacha nirudie tena. 🤣 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134]
Dar-is-a-slum kweli
Dar-is-a-fishing village[emoji23][emoji23]Wanajifanya hawajaona, wacha nirudie tena. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dar is a slum fire station.
Aisee naona TC inazidi kuliteka soko la Afrika. July 2nd frequency ya Lusaka Harare inaongezeka halafu pia kule Mumbai wanaongeza frequency tarehe 3 July mbona raha.
Fire services in Tanzania are a disgrace.Wanajifanya hawajaona, wacha nirudie tena. 🤣 🤣 🤣 🤣
Dar is a slum fire station.
Route ya Guangzhou irudi rasmi!Aisee naona TC inazidi kuliteka soko la Afrika. July 2nd frequency ya Lusaka Harare inaongezeka halafu pia kule Mumbai wanaongeza frequency tarehe 3 July mbona raha.
French investments in Tanzania to hit Sh9.7 trillion in five years
The French public and private sectors are expected to invest about $4.2 billion (Sh9.7 trillion) in various areas in Tanzaniawww.thecitizen.co.tz
The best 007 kama unafikiri natania tazama long-term residence permit card ya wengine inavyofanana. Hii unagoogle tu na unapata kujua long-term residence permit card ya Czech Republic inakaa vipi.Kwa hivyo mzee wewe unaona nacheka cheka na wewe unanidharau sio? Hii hapa long-term residence permit card yangu ya Czech Republic. Mzee mimi nimetoka nje ya nchi yangu na kuishi huko miaka miwili sio kama wewe ambaye hujawahi kutoka nje ya Tanzania.
View attachment 2275686
Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Yeah, na ukiacha Nairobi CBD, the rest ni Mathare!And 99% of it is the pipeline.
If you had no minerals like Kenya, mngekuwa nyuma kama Burundi.
Hivi Wakinga hawapo pande za Lusaka kweli? NilikutaNa na masai wa Dawa! Lugha ilikuwa mtihani kule kwa kweli!Hapo wachagga tu wanalalamika cjui wakija wakinga watafanyaje[emoji38][emoji38][emoji3]
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Kusoma kunakushinda?And 99% of it is the pipeline.
If you had no minerals like Kenya, mngekuwa nyuma kama Burundi.
Tunakita mizizi hatutaki kukimbilia masoko kwa sifaAisee naona TC inazidi kuliteka soko la Afrika. July 2nd frequency ya Lusaka Harare inaongezeka halafu pia kule Mumbai wanaongeza frequency tarehe 3 July mbona raha.