Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,748
Wakati akifunga bajeti yake alitumia zaidi ya nusu saa kutetea mikopo akisema ati kuna sehemu hawana barabara na kodi yao imejenga sehemu nyingine barabara kwahiyo wana haki ya barabara kama sehemu nyingine zilizonazo hata kama tunaenda kuchukua mikopo bila kuangalia uwezo wa kulipa na kabla ya kulipa iliyopo! Yaani suala la kuanzisha road fund na kutunisha kama ipo si option kwake! Yaani amekaa kiombaomba!Umeongea kitu chenye ukweli lakini sidhani kama Serikali itauzingatia huu ushauri. Watendaji wazuri hawapewi nafasi kwenye nyadhifa kubw na kuwa huru ili waonyeshe uwezo wao badala yake wanapewa watu dhaifu wasio na maono kuongoza taasisi nyeti na kujikuta wanaua uchumi.
Huyu jamaa alishalalamikiwa sana na watu wengi kwamba hana uwezo huo. Ila still wanampa Wizara,sijui ni watu na bahati zao au upendeleo tu?
Namkubali Kimei lakini ndio hivyo hawamuoni wateuaji.
Kandahar[emoji849][emoji849][emoji27][emoji27]Githurai hii hapa
Unaweza sema ni Baghdad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2274835View attachment 2274838View attachment 2274839View attachment 2274840
The iron snake that was foretold by our freedom fighters and Ancestors [emoji16]
Atleast now you can see the reality. Now go deep into kenyan towns there are many more. It's sad humanity turned us like thishizi ndo zile NGOs za Nairobi ziko Loliondo sasa! Zinajaribu kuwa-con Wamasai baaada ya kuwa-con Wasukuma!
Just like we said it is something a Kunyan has a hand i.e. trafficking minors to Nairobi and push them into a forced labour i.e. begging!
Now what pisses me off is the family of Fara that is having enough land to sustain a decent living and even moved to a bigger shamba but r giving their disabled kid to a stranger that lives in a slum somewhere in Kariobangi!
Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu
Hapa sijui kama kuna ukweli
View attachment 2274693
Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!
Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Huyu Mwigulu ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge na hajawahi kufundisha wala kuongoza taasisi ya fedha! Ni hatari kweli kumtegemea kukuza uchumi kurudi 7%!
na kuwajengea vyoo ahahahaha kenye is real a shit hole, unajengewa choo?China imejipanga sana , tatizo la Nchi za ulaya wanawekeza kwenye mambo ya kijinga sana kama hapo kenya millitary bases π
Broo siielewi unalalamika nn wakati ww ndo upo mstari wa mbele kuumunga mkono mama kwa njia anazotumia kufungua nchiWakati akifunga bajeti yake alitumia zaidi ya nusu saa kutetea mikopo akisema ati kuna sehemu hawana barabara na kodi yao imejenga sehemu nyingine barabara kwahiyo wana haki ya barabara kama sehemu nyingine zilizonazo hata kama tunaenda kuchukua mikopo bila kuangalia uwezo wa kulipa na kabla ya kulipa iliyopo! Yaani suala la kuanzisha road fund na kutunisha kama ipo si option kwake! Yaani amekaa kiombaomba!
Hii ndio angle Mikunya ilikubali yenyewe hayana nguvu ya kupambana na Tanzaniawaambieni hii ni tanzania ππ
View attachment 2274929
And someone (even their President) dares to call their bus terminal in Nairobi
Hapa ni slum, standard flats vs nyumba za kishamba, usijitoe ufahamu banaππππ.., ila picha ya pili(Tz) eti sio slum , nyumba za kishamba na barabara uharoπ π π π π
Una utaahira kichwani? So nikim-support mama siwezi kumkosoa waziri wake? Ndo Magufuli alivyokufundisha?Broo siielewi unalalamika nn wakati ww ndo upo mstari wa mbele kuumunga mkono mama kwa njia anazotumia kufungua nchi
Hii berth mpya ya Mombasa port tuliyozindua last week ni kubwa sana ina capacity ya kupokea bangi zote duniani na nafasi kubaki. π πmunapokea bangi au π€£π€£π€£
Weka source ya hiki ulichoandika!KLM has switched to daily 77W/78X from 6x a week to 7 times a week using B772
Fly Dubai has increased its freq to Dar from daily to double daily using B737 Max 8 ..and Zanzibar to 3x a day ..two trips via Dar
Turkish Daily do Dar Using 737Max9/8 or Airbus A330
Emirates as per usual 7x a week 77W
Ethihad to Znz using A320 3x a week
Qatar 18 x a week to Dar ..some trips via KIA using A330 in the morning , and 787 afternoon, A320 at night
Air Tanzania 4x a week from 3x to moroni A223, and 4x a week to Harare from July using A223
Some Seasonal Trips to Znz will also start
LOT polish airlines once weekly using 787
Neos soon
Hivi uwanja wa Songwe tatizo ni nn? new terminal imeanza kujengwa tangu 2013 if i am not mistaken!