[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hawa mbwa usiende nao kistaarabu mana wanakuzoea mapema alafu akishakuletea mazoea amaweka na kapicha kake anakokabadili angle zen anajitangazia ushindi, ukitaka kujua jinsi ya kutembea nao muangalie joto la jiwe ichoboy01 au chongchung utaelewa namaanisha nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sinza ina uswahili gani wakati unaona kabisa imepangika?Kumbe nawe unaishi uswazini [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2272865
Uswahili wa hapa uko wapi sasa? Hawajui maana ya uswahili hawa watu!Ground level [emoji116] barabaraniView attachment 2272873mtaani kwangu [emoji3516] una jingine.?
Saa zingine unafikirianga kwa tumbo. Mmezoea Estate bila barabara mkijengewa kidogo mnarukwa na akili. Yani barabara ya kawaida hadi drainage zimejaa uchafu ndio inakutia kiwewe hivi?Quality ya hizi barabara hata poshy suburbs za Karen, Westlands, Runda Estate na Kileleshwa huwezi pata! Kuna mkunya anabisha? Nimwage mpunga humu?
CC: Coco reborn, kikihboy
Nicxie, Teargas n Tony254
28 kilometers Kibera what does it mean? 😂😂😂😂 Kwamba wamejenga kilometers 28 Kibera? 😅😅😅
wewe hasason ungekua msouthafrican, ungeitwa 'Ntombi Khumalo' walai. coz wewe ni mambo biad.. lazma wewe ni Alejandro wa mtaa yenu, ama chuoni.. yani wewe ni 'kichimbi'
Kamakis along Eastern Bypass.Huku ni wapi?
You can't find such in Dar
Hiki kitakuwa kidole gumba bila shaka [emoji1787]Kaleta hii hapa kajitia kidole [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2272896
Prove that GDP ya Kenya ni double ya Tanzania nitoke JF sasa hivi.Gdp per capita ya Kenya ni double ya Tanzania. Sasa hata ukilia machozi hutobadilisha hio fact.
Tunaendesha uchumi wao; in nyangau's coarse voice from Kibera after sipping Changaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazee wa GDP mupo? Nimesoma comments kwenye hii habari nimecheka, jamaa zetu wako desparate kwerikweri…….[emoji28][emoji28]
View attachment 2272917
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio id nyingine ya malkia wa msa kumbe!Akili za kitoto hizi malkia wa Mombasa.
Nyie mko strong kwenye retail banking tuu ila sisi strength yetu ni kwenye corporate banking.Kwenye mambo ya banks sidhani kama kuna battle na malazy. Hakuna bank hata moja ya Tanzania ipo kenya ila banks za Kenya zipo katika kila nchi ukanda huu. Kuna atleast bank moja ya Kenya au zaidi ya moja katika nchi hizi: Tanzania, Uganda, South Sudan, DR Congo na Rwanda. Tanzania kuna banks at least tatu za Kenya: KCB bank, NCBA bank na Equity bank.
Limfereji limetoa mboji ya kutosha kwa kilimo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Or these ones [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273193View attachment 2273194View attachment 2273195