Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It wasn't about whether it's allowed in Tanzania or not. That's your own creation. The topic of discussion was the presence of Tanzanian beggars in Kenya. Wacha kutoka nje ya mada
Si ni wewe ulie claim kwamba ni ufakara wa watanzania ndio unaowaleta huko.? Kwamba tuna hali mbaya ya maisha back home ndio maana watu wetu wanakuja kuomba huko kwenu.? Majibu niliyotoa kwenye post yangu ya kwanza kujibu tuhuma zenu hayatoshelezi wewe kuelewa what's going on.? Omba omba ndani ya ardhi ya kenya ni miradi ya washenzi wa kikenya and that's why hata serikali yenu haiwarudishi hao walemavu wa kitanzania nyumbani kwao, kwasababu ni biashara ya wapuuzi fulani, since mtu omba omba hawezi afford hata bus fare kuja huko kwenu, wala residential permit or anything to support their lives while they are in Kenya.. WALEMAVU WA KITANZANIA NDANI YA KENYA kwa jina la omba omba ni miradi ya washenzi wachache, na hawaji huko eti kwasababu Tanzania kuna njaa or something.. otherwise mngewafurumusha huko kama tunavyowafanyia huku Bongo
 
How many people in Tanzania live below a dollar a day in comparison to Kenya?

What's the HDI of Tanzania in comparison to Kenya's?

What's the minimum wage in Tanzania in comparison to Kenya?

How many people in Tanzania live in extreme poverty compared to Kenya?

Now, bongolala, that's the ufukara I am talking about
Lini umesikia mtz anakufa kwa njaa? Hizo HDI sijui upumbavu gani usiniletee mm, nakuuliza lini umesikia shida ya maji mpk watu wanakunywa tope Dar au maeneo mengine ya Tz?
 
I said that 90% of your pictures will come from Kibera. See now!
Huipendi Kibera? Inakuumiza eehh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

90% ya ka Nairobi ni slums kushoto kulia chagua nikuletee slum ipi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220626-134513.jpg
 
And you think it hurts us? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
We don't care whether you will be hurt or not, what we Tanzanians try to do is just humiliating you, torturing you until you stop coming in our promised land.
 
How many people in Tanzania live below a dollar a day in comparison to Kenya?

What's the HDI of Tanzania in comparison to Kenya's?

What's the minimum wage in Tanzania in comparison to Kenya?

How many people in Tanzania live in extreme poverty compared to Kenya?

Now, bongolala, that's the ufukara I am talking about
Maskini wa mwisho Tanzania ni yule wavijijini huko na kama atakua hafugi mifugo basi ujue ana hata shamba la kulima mazai yanayomtoshekeza kula na kuendesha maisha yake while maskini wa mwisho Kenya ni yule mpuuzi ambae hana kila kitu since ardhi yenye rutuba yote mumemuuzia mzungu alime chai, hatufanani nyinyi ni maskini sana manzee kupindukia
 
Si ni wewe ulie claim kwamba ni ufakara wa watanzania ndio unaowaleta huko.? Kwamba tuna hali mbaya ya maisha back home ndio maana watu wetu wanakuja kuomba huko kwenu.? Majibu niliyotoa kwenye post yangu ya kwanza kujibu tuhuma zenu hayatoshelezi wewe kuelewa what's going on.? Omba omba ndani ya ardhi ya kenya ni miradi ya washenzi wa kikenya and that's why hata serikali yenu haiwarudishi hao walemavu wa kitanzania nyumbani kwao, kwasababu ni biashara ya wapuuzi fulani, since mtu omba omba hawezi afford hata bus fare kuja huko kwenu, wala residential permit or anything to support their lives while they are in Kenya.. WALEMAVU WA KITANZANIA NDANI YA KENYA kwa jina la omba omba ni miradi ya washenzi wachache, na hawaji huko eti kwasababu Tanzania kuna njaa or something.. otherwise mngewafurumusha huko kama tunavyowafanyia huku Bongo
Kama mnajua ni wakenya wanawaleta kutoka Tanzania to come and beg mbona mswaishike hao wakenya wanaowakujia Tanzania na kuwafungulia mashtaka? Na kwani Kenya hakuna walemavu? What's so special about Tanzanian disabled people that a Kenyan would go all the way to bring them to Kenya? Mbona wasitumie tu walemavu wa huku huku Kenya? Mbona watumie tu walemavu kutoka kwenu. Ili iweje?

See man, your argument doesn't make any sense at all. In fact, it only makes you look stupid!
 
We don't care whether you will be hurt or not, what we Tanzanians try to do is just humiliating you, torturing you until you stop coming in our promised land.
Promised land that export beggars? 😃😃😃
 
Maskini wa mwisho Tanzania ni yule wavijijini huko na kama atakua hafugi mifugo basi ujue ana hata shamba la kulima mazai yanayomtoshekeza kula na kuendesha maisha yake while maskini wa mwisho Kenya ni yule mpuuzi ambae hana kila kitu since ardhi yenye rutuba yote mumemuuzia mzungu alime chai, hatufanani nyinyi ni maskini sana manzee kupindukia
Uzuri ni kwamba you can't deny documented facts. You can say anything you want but ukweli itabaki pale pale
 
Kama mnajua ni wakenya wanawaleta kutoka Tanzania to come and beg mbona mswaishike hao wakenya wanaowakujia Tanzania na kuwafungulia mashtaka? Na kwani Kenya hakuna walemavu? What's so special about Tanzanian disabled people that a Kenyan would go all the way to bring them to Kenya? Mbona wasitumie tu walemavu wa huku huku Kenya? Mbona watumie tu walemavu kutoka kwenu. Ili iweje?

See man, your argument doesn't make any sense at all. In fact, it only makes you look stupid!
No wonder Al shabab wanaingia kiholela wanavyotaka wao na kuwafanya kitu mbaya huko kwenu mbwa nyie .. ikiwa mumuwaona hao ombaomba huko kwenu na wapo huko for years kwanini musiwaondoe instead of coming here mulalamike nyie wapuuzi .?
 
Promised land that export beggars? [emoji2][emoji2][emoji2]
You deny ur fellow Kenyans at the cost of Tanzania that is the highest degree of satanic, your Govt destroyed the dream of many kenyans including you for the sake of enriching only one family, that's more pain word to hear, very sorry [emoji17][emoji52]
 
Uzuri ni kwamba you can't deny documented facts. You can say anything you want but ukweli itabaki pale pale
Documents facts .? 😂😂😂 Maandishi hayo hata mimi naweza andika brathee, njoo Tz uone ukweli kwa macho yako, then ujue vile we are not of your low level bro
 
Huipendi Kibera? Inakuumiza eehh
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

90% ya ka Nairobi ni slums kushoto kulia chagua nikuletee slum ipi hapa
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 2272837
Githurai is 100% better than your uswazi hovels and this we've proved here so many times

Uthiru is 100% better too and this we've proved that here as well.

Ruai sasa hata ni bora kuliko hata mitaa mingi ya kifahari huko Dar and that we've proved too
 
Heheheheeee ground imekushinda eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
No wonder Al shabab wanaingia kiholela wanavyotaka wao na kuwafanya kitu mbaya huko kwenu mbwa nyie .. ikiwa mumuwaona hao ombaomba huko kwenu na wapo huko for years kwanini musiwaondoe instead of coming here mulalamike nyie wapuuzi .?
Mimi usiniltee maumivu yako bro. I haven't come begging on your streets 😂 😂
 
Back
Top Bottom