Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi fukara ukanda huu inajulikana na hilo lipo wazi wala isitie shaka. And just to remind you, yes; your beggars come from far and wide
Definition ya fukara ni yule asiyejiweza bila misaada, Kenya ina qualify kuitwa ni nchi fukara mana haijiwezi kwa lolote si kwa chakula wala miundombinu kila kitu inaomba, huko mbele mtachekesha mana hakuna nchi itatoa ufadhili wa chochote bila kuwa na chochote, na c mnajua ka nchi kenu hakana rasilimali?
 
90% of your photos will come from Kibera then the remaining 10% zitoke mitaa ambayo hata kwa kuangalia tu are way better ylthan your uswazi hovels. Tell me how Githurai is called a slum and Tandale isn't! Githurai is better than Tandale in everything mentionable
Lete ground photos za tandale nikuoneshe kwann wanasema githurai ni slum area while tandale co hakuna slums.
 
Definition ya fukara ni yule asiyejiweza bila misaada, Kenya ina qualify kuitwa ni nchi fukara mana haijiwezi kwa lolote si kwa chakula wala miundombinu kila kitu inaomba, huko mbele mtachekesha mana hakuna nchi itatoa ufadhili wa chochote bila kuwa na chochote, na c mnajua ka nchi kenu hakana rasilimali?
Hivyo ndivyo ulifundishwa definition ya ufukara shuleni? Iweje basi mnatajwa Kama taifa fukara zaidi ukanda huu? Ama hizo pia ni hujuma za Kenya? I hear you blame everything on us crybabies 😂
 
Hivyo ndivyo ulifundishwa definition ya ufukara shuleni? Iweje basi mnatajwa Kama taifa fukara zaidi ukanda huu? Ama hizo pia ni hujuma za Kenya? I hear you blame everything on us crybabies [emoji23]
Taifa fukara linalowalisha? Taifa fukara linalofanya miradi ya gharama kubwa kuliko miradi inayofanyika nchi zote za EA combined? Au kuna definition mpya ya ufukara imetoka juzi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mbona unatukasirikia? Hao ombaomba hawapatikani Nairobi tu. Jana nimeleta taarifa za wao kupatikana Kitale, Migori, Nakuru, Makueni na sehemu zinginezo.

Secondly, sio lazima mtu awe na pasipoti ndio avuke mpaka kati ya hizi nchi mbili. Nimevuka mpaka kule Sirare mara nyingi sana na hakuna siku nimeulizwa passport wala kibali chochote

You can deny all you want and use every excuse available but that won't change the fact that these are Tanzanians
Huu ujinga unaoeleza hapa wote majibu yake talk kwenye Post yangu ya kwanza manzee.. omba omba ndani ya ardhi ya Tanzania ni jambo linalopigwa vita vikali mno .. maelezo nilitoa yanajitosheleza sana, uamue wewe tu sasa kukaza fuvu
 
Taifa fukara linalowalisha? Taifa fukara linalofanya miradi ya gharama kubwa kuliko miradi inayofanyika nchi zote za EA combined? Au kuna definition mpya ya ufukara imetoka juzi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafkiri ni muda sasa wa ku ignore hilo chizi kwa jina la nixie mana yeye ni kulazimisha tu na ukweli wote nimeweka hapa
 
Lete ground photos za tandale nikuoneshe kwann wanasema githurai ni slum area while tandale co hakuna slums.
Githurai "slum"
images - 2022-06-26T132838.414.jpeg

Tandale middle-class area 😂
images - 2022-06-26T132741.249.jpeg
 
Nafkiri ni muda sasa wa ku ignore hilo chizi kwa jina la nixie mana yeye ni kulazimisha tu na ukweli wote nimeweka hapa
Hakuna haja ya kumu ignore hawa kuna jinsi ya kutembea nao, wewe tulia nampa dose nzr saizi utasikia kilio, tafadhali kaa mbali damu zisije kukurukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu ujinga unaoeleza hapa wote majibu yake talk kwenye Post yangu ya kwanza manzee.. omba omba ndani ya ardhi ya Tanzania ni jambo linalopigwa vita vikali mno .. maelezo nilitoa yanajitosheleza sana, uamue wewe tu sasa kukaza fuvu
It wasn't about whether it's allowed in Tanzania or not. That's your own creation. The topic of discussion was the presence of Tanzanian beggars in Kenya. Wacha kutoka nje ya mada
 
It wasn't about whether it's allowed in Tanzania or not. That's your own creation. The topic of discussion was the presence of Tanzanian beggars in Kenya. Wacha kutoka nje ya mada
Hakuna mtz hata mmoja ombaomba Kenya, majolity ya Watz Kenya ni wafanyabishara, leteni uthibitisho kama kweli ni Watz tuwekeeni uthibitisho mfano kama wana ndui mikononi mwao. Hao ni wakenya wenzenu waliopewa ufukara na familia ya mtu mmoja ikiwemo wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivyo ndivyo ulifundishwa definition ya ufukara shuleni? Iweje basi mnatajwa Kama taifa fukara zaidi ukanda huu? Ama hizo pia ni hujuma za Kenya? I hear you blame everything on us crybabies 😂
Screenshot_20220626-113333_YouTube.jpg

Taifa fukara lakini bado mnavuka border kuja kutuibia!
 
Alafu sisi tukiwakamata tunawadhalilisha mitaani kama hivi mbona wao hawawadhalilishi hao Watz ombaomba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale ni omba omba wao ila kwa kujikweza kwao wanawakataa wakunya wenzao
 
Taifa fukara linalowalisha? Taifa fukara linalofanya miradi ya gharama kubwa kuliko miradi inayofanyika nchi zote za EA combined? Au kuna definition mpya ya ufukara imetoka juzi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
How many people in Tanzania live below a dollar a day in comparison to Kenya?

What's the HDI of Tanzania in comparison to Kenya's?

What's the minimum wage in Tanzania in comparison to Kenya?

How many people in Tanzania live in extreme poverty compared to Kenya?

Now, bongolala, that's the ufukara I am talking about
 
Back
Top Bottom