Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wanafanya kama kwao, wakati bongo ukienda huko mtwara kwenye buffer zone alafu unatembea ovyo bila barua ya utumbulisho kutoka kwa mwenyekiti na mjumbe utaipata vizuri
Jamaa ndio wanajisifu wana jeshi zuri lakini,al shabab wanaingia kwenue ardhi yao,na hata jeshi la ethiopia kuna kipindi uwa linaingia upande wa kenya na kutembeza kichapo
 
Kitu kimepiga mzinga kwenye expressway ya mchina
Mchina kama kawaida yake ataoverprice ukaratabat hapo

Hao madereva ni wajinga. Wao ndio watatoa fedha ya kukarabati hilo toll booth. Speed limit kwa hii expressway ni 80 km/h
 
Tony254 Nioneshe haya mambo Tanzania 😅😅😅😅

FWFlna9XwAIjKQd.jpeg
 
Why would we stage a story/thory about Tanzania? To what benefit? Explain to me how that would help Kenya and Kenyans deal with their challenges.

Look man, Tanzania is not heaven on earth, don't expect it not to have its share of challenges. Even America has its own share of challenges to deal with.

Even right now, you still maintain that hamna maisha magumu sana while data zote za kimataifa zinasema nyinyi ndio mnaongoza kwa ufukara ukanda huu. Je, ripoti kama hizi pia zimekuwa stage-managed na Kenya? Stop blaming us for your problems man. Hata sisi pia tupo na changamoto zetu and we don't blame them on anyone
I give you my word.If something was not just what I was thinking and being aware of,I will come back to you to say am sorry.
 
I understand your pain. Just the same way sisi pia hatufurahii tukiona wenzetu wa kaskazini wakikosa chakula sababu ya ukame and the government is not doing enough to alleviate the suffering. Sema tu serikali zetu hazitilii mkazo maswala muhimu za kitaifa.

Lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna watanzania wapo kwenye mitaa na barabara za Kenya kama ombaomba. Sio eti ombaomba wote ni watanzania ila majority of them are Tanzanians
Ngoja nisubiri nione ukweli wake uko vipi. Kama ni kweli kuna uzembe mahali fulani.
 
Upotoshaji upi wakati ni kweli kuna omba omba wengi kutoka Tanzania wamejaa Nairobi wakiomba omba pesa barabarani.
Ndio bado ninashangaa wametokea wapi? Mnawaacha tu waendelee kuomba wakati huku kwetu wanaondolewa?

Ngoja niendelee kulifuatilia hili suala, serikali nayo haitalifumbia macho. Jirani zenu mostly ni Chaggas ,hawa wana maisha mazuri na ni wachapakazi kweli hawana mentality ya kuomba omba barabarani. Sasa hawa wanaojiita Watanzania wametokea wapi, wana vibali vya kuomba omba barabarani, sheria zenu zikoje kwa wageni wa namna hii?
 
Wizara inayo deal na Sayansi na Technology ..iwe inatoa grants kwa startups na ideas ni investement nzuri..kuwe na grants za fund hata kuanza na Billion 5 kwa mwaka ku support kukuza technology na startup firms
Kwani wanaelewa hayo wenyewe wanachojua ni kufungia nyimbo za wasanii tuu na kupandisha gharama za data
 
I understand your pain. Just the same way sisi pia hatufurahii tukiona wenzetu wa kaskazini wakikosa chakula sababu ya ukame and the government is not doing enough to alleviate the suffering. Sema tu serikali zetu hazitilii mkazo maswala muhimu za kitaifa.

Lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna watanzania wapo kwenye mitaa na barabara za Kenya kama ombaomba. Sio eti ombaomba wote ni watanzania ila majority of them are Tanzanians

Upotoshaji upi wakati ni kweli kuna omba omba wengi kutoka Tanzania wamejaa Nairobi wakiomba omba pesa barabarani.
Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇. Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇. Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA
 
Back
Top Bottom