Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇. Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇. Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA

Kama Tanzania ni nchi ya asali na maziwa mbona dada na ndugu zako wakaacha hayo yote kuja kutembeza bakuli Katina mitaa na barabara za miji zetu? Beats logic!
Majibu yote nilishamaliza hapo juu kwenye post yangu, labda ulete tu ukaidi sasa
 
Wanaenda kujaribu bahati yao ya kuiba madini kule congo kama wanavyouza mkaa somalia,kenya jeshi lao ndihamu ni 0
Kuna mchina mmoja alikuwa mitaa ya ka Nairobi alikuwa ndani ya gari amejifanya kuweka simu mkononi alafu akajifanya kama kujisahau hivi, aloo kila mtaa aliopita alitaka kuporwa hiyo simu video ipo you tube inachekesha na kufedhehesha sana, yani Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia president, askari barabarani, wanajeshi mpaka raia wa kawaida ni wezi, hata hawa wa humu pia ni wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇. Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇. Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA

Sasa mbona unatukasirikia? Hao ombaomba hawapatikani Nairobi tu. Jana nimeleta taarifa za wao kupatikana Kitale, Migori, Nakuru, Makueni na sehemu zinginezo.

Secondly, sio lazima mtu awe na pasipoti ndio avuke mpaka kati ya hizi nchi mbili. Nimevuka mpaka kule Sirare mara nyingi sana na hakuna siku nimeulizwa passport wala kibali chochote

You can deny all you want and use every excuse available but that won't change the fact that these are Tanzanians
 
Uje Dar bila passport? Jaribu uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hilo linawezekana kwenye failed state pekee sio Tz.
 
Nieleze mbona wakaacha asali na maziwa Tanzania waje kutembea bakuli Kenya
Kenya 70% wanaishi maisha ya ombaomba mfano wale wanaoishi kwenye ma slums ya ka Nairobi wale ni zaidi ya ombaomba mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sirare sio Tanzania?
Nakwambia hivi njoo Dar bila passport uone kitakachokutokea, cc huku Tz tunawa treat Wakenya the same way as Nigerians, tunawaona wezi na msio na ustaarabu hivyo basi hamuwezi kukaa kienyeji humu.
 
A typical Nairobian living in places you refer to as slums like Githurai or Uthiru is living in a better condition than that fella in Vingunguti middle-class area
 
Jibu swali langu, is Sirare and Tarime not part of Tanzania?
 
Wewe sehemu yako mbaya kwa Tz c ni Vingunguti tu na hata hivyo hakuna slum umeleta hata moja ila mm nilishakuambia ka Nairobi kazima kamezungukwa na slums ukibisha twende on ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpakani unaingia haina shida, sio eti mtanzania atoke Dodoma aende ka Nairobi kuomba omba huko ni kuwakosea heshima na kuwakataa wakenya wenzenu waliosababishiwa ufukara na familia ya Kenyatta.
 
Kwanza tuanzie mazingira wanayoishi asilimia kubwa ya Wakenya, 90% wanaishi kwenye slums kama wanabisha wabishe tu ila ukweli wanaujua hasa hawa tulio nao humu JF ni mafukara kweli kweli, simu tu ikiharibika haonekani humu ndani mwezi mzima.
 
Wewe sehemu yako mbaya kwa Tz c ni Vingunguti tu na hata hivyo hakuna slum umeleta hata moja ila mm nilishakuambia ka Nairobi kazima kamezungukwa na slums ukibisha twende on ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajisahalisha au?
Umesahau Mabibo, Tandale, Mazense, Buguruni, Tandika, Mburahati, Mwananyamala, Keko Mwanga na sehemu zingine?
 
Kuna kamoja kalisema kata update Google kuyaondoa ma slums yaliyotapakaa ka Nairobi kabla ya kufanya hivyo simu ikaharibika kakapotea humu miezi miwili kamerudi kakakuta ma slums yame triple, hivi tunavyoongea ka Nairobi ndiyo namba moja duniani kuwa na the largest slums in the world.
 
Unajisahalisha au?
Umesahau Mabibo, Tandale, Mazense, Buguruni, Tandika, Mburahati, Mwananyamala, Keko Mwanga na sehemu zingine?
Ok tuanze kuleta ground photos mm na ww za slums za Kenya na Tz mm naanza alafu wewe jibu, niletee ground photos kama hizi Tanzania [emoji116][emoji116]
tapatalk_1596226799872.jpg
Screenshot_2019-11-10-18-03-50.jpg
Screenshot_2019-12-13-18-15-58.jpg
 
Mpakani unaingia haina shida, sio eti mtanzania atoke Dodoma aende ka Nairobi kuomba omba huko ni kuwakosea heshima na kuwakataa wakenya wenzenu waliosababishiwa ufukara na familia ya Kenyatta.
Nchi fukara ukanda huu inajulikana na hilo lipo wazi wala isitie shaka. And just to remind you, yes; your beggars come from far and wide
 
Kuna mchina mmoja alikuwa mitaa ya ka Nairobi alikuwa ndani ya gari amejifanya kuweka simu mkononi alafu akajifanya kama kujisahau hivi, aloo kila mtaa aliopita alitaka kuporwa hiyo simu video ipo you tube inachekesha na kufedhehesha sana, yani Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia president, askari barabarani, wanajeshi mpaka raia wa kawaida ni wezi, hata hawa wa humu pia ni wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
don't trust any kenyan,kuanzia wanasiasa hadi raia wa kawaida,wizi upo kwenye damu hao jamaa,video yenyewe hiyo hapo
 
Ok tuanze kuleta ground photos mm na ww za slums za Kenya na Tz mm naanza alafu wewe jibu, niletee ground photos kama hizi Tanzania [emoji116][emoji116]View attachment 2272790View attachment 2272791View attachment 2272792
90% of your photos will come from Kibera then the remaining 10% zitoke mitaa ambayo hata kwa kuangalia tu are way better ylthan your uswazi hovels. Tell me how Githurai is called a slum and Tandale isn't! Githurai is better than Tandale in everything mentionable
 
Back
Top Bottom