Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Bomas. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe wacha kuji aibisha.
I realized that too nikaamua tu kunyamaza. Maybe alimaanisha Bomas of Kenya wala sio The Boma Hotel 😂 😂 I haven't heard of any hotel in Nairobi called Bomas.
Keyboard warriors are so many here
 
Naipori naijua vizuri sana huwa nikija hapo nakaa kwa sehemu tatu tuu kama sio Sarova Stanley basi ni Panari au the Bomas.
Wewe usituone wajinga. Wewe huwezi kuafford hata one night stay at Sarova Stanley.
 
Sasa kelele za nini kama si mnagombea interests zenu? Umewahi ona Tanzania ikilalamika Masai kuhamishwa huko Kunyaland? Mlipowatoa Mau forest tulipiga kelele?
Nani alikuambia au ulisoma wapi kwamba Wamasaai ndio walihamishwa msitu wa Mau? Wacha ujuaji bongolala, usije ukaongea mambo ambayo huna uelewa
 
Achana na yule mjinga Ichoboy. Hajui kwamba the first three-level interchange ukanda huu iko pale Pangani. But because he's stupid na anapenda mabishano, he has always maintained that that's not a three-level interchange. Sijui uelewa wake wa neno "three-level" ni nini
Ichoboy na The best 007 huwa wanasema eti Kenya haina 3 level interchange. Huyo The Best mdomo kubwa pia huwa anasema hivyo.
 
Wewe usituone wajinga. Wewe huwezi kuafford hata one night stay at Sarova Stanley.
Jamaa kasema kwamba moja ya hoteli ambazo anapenda kuenda inaitwa "Bomas"
Sijui hiyo ni hoteli gani hapa Nairobi 😂
 
Si poa kuitana negro, lakini pia nyie ni washenzi sana, mnakuanga busy mkituita monkey na kusema ngozi yetu ni nyeusi sana, mbona hamjiangaliii pia?
Kwahiyo kwaakili yako ukimuona mtu anakunya hadharani na wewe lazima umuige? You need to show the difference otherwise mtawekwa kundi moja.
 
Jamaa kasema kwamba moja ya hoteli ambazo anapenda kuenda inaitwa "Bomas"
Sijui hiyo ni hoteli gani hapa Nairobi 😂
Maybe anamaanisha The Boma hotel ile ya South C ya Red Cross. But hata hio ni high class hawezi kuafford chakula forget about boarding. Juice tu itamshinda kulipa.

Cc coodip1
 
In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.
Why do you sound like someone who has never left his mothers compound?
 
He came to Nairobi wearing a military jacket too, two days ago. He's obsessed with power!
He has never come to Tanzania wearing a combat or onboard a military chopper though! He has always used a presidential jet or a motorcade! Mbona anawafanyia hivyo huko? Hawaamini sio?

 
Achana na yule mjinga Ichoboy. Hajui kwamba the first three-level interchange ukanda huu iko pale Pangani. But because he's stupid na anapenda mabishano, he has always maintained that that's not a three-level interchange. Sijui uelewa wake wa neno "three-level" ni nini
3 level tumekua nazo tangu 2009 yani 2000s
images-36.jpg
 
Back
Top Bottom