Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe fala sio sipangwingwi ni sipangwigwi yani sipangiki nyie mliichukua na hamkuelewa maana yake, huo msemo tunautumia miaka mingi since 2004 nipo school nautumia huo msemo. Ukisikia mbongo anasema usinipange hamaanishi usinipangie cha kusema bali anamaanisha usiniongopee. Wewe unaongelea TikTok ya juzi wakati msemo upo tangu 2000s.
Nakumbuka huu msemo ulianza na wimbo maarufu wa Rose Muhando 'jipange sawasawa' kisha neno 'jipange' likaibuka, then 'nitakupanga' likafuata halafu 'hunipangi' likaja ambalo ndio 'sipangwi'

Sasa sijui Mikunya inadai nini chao hapo! 🙄
 
Flight simulators are very expensive cost almost as much as a real aircraft, Geza anasema mkona tatu wacha alete evidence you have so far KQ ikona moja, but pilots wa Kq huenda Ethiopia and singapore for 737,767,777 ratingsView attachment 2268687
KQ iko na moja ipi onesha hiyo moja, ni aina gani? Alafu co kwa sababu nyie hamna ndiyo na cc tusiwe nayo. Unaposema gharama una maanisha nini? Kwamba ni gharama kuliko kujenga SGR? Kwamba ni gharama kuliko kujenga JNHPP? Au kwamba ni gharama kuliko kununua real aircraft? Na kama sivyo kwnn tushindwe kununua mpk ukafikia hatua ya kusema NIT can never.....

Wewe unajua lengo la kujenga NIT? Wacha wivu vipaumbele hatufanani, nyinyi kipaumbele chenu ni xpress way but cc vipaumbele vyetu ndiyo kama hivyo kuwa na hub centers in Africa like NIT.

MSIFOSI TUFANANE
 
Siku moja utafika tu Nairobi kaka. Kwa sasa endelea kudownload mipicha mitandaoni na kudai umezipiga mwenyewe
Nahisi labda hufahamu mimi ni mjaluo by nature mama yangu ni mtu wa kenya(k'ogello) nina ujomba na Barack Obama,mjomba wangu anafanya kazi JKIA nimeshaenda Nairobi sio chini ya mara tatu,Kisumu zaidi ya mara 7 na mombasa natarajia kwenda August.....sasa wewe endelea kukaa hapo Migori halafu uendelee kupiga domo hapa JF kuwa Nairobi au Dar ya 80-2000's ndio Dar ya 2010's-2020's...Dar inapanuka sana tena sana nina wajomba zangu uwa wakienda dar wanabaki midomo wazi hawaamini wanachokiona..........Be open minded
 
KQ iko na moja ipi onesha hiyo moja, ni aina gani? Alafu co kwa sababu nyie hamna ndiyo na cc tusiwe nayo. Unaposema gharama una maanisha nini? Kwamba ni gharama kuliko kujenga SGR? Kwamba ni gharama kuliko kujenga JNHPP? Au kwamba ni gharama kuliko kununua real aircraft? Na kama sivyo kwnn tushindwe kununua mpk ukafikia hatua ya kusema NIT can never.....

Wewe unajua lengo la kujenga NIT? Wacha wivu vipaumbele hatufanani, nyinyi kipaumbele chenu ni xpress way but cc vipaumbele vyetu ndiyo kama hivyo kuwa na hub centers in Africa like NIT.

MSIFOSI TUFANANE
Kubishana na hawa wakunya wa humu ni kujisumbua tu akili, mtajadili kitu leo kesho ataleta tena mada ileile..
 
Sipangwigwi maana yake siongopewi, sawa na mtu aseme sipangiki yani hunipangi means huniongopei, unajua wakenya siku hizi wamekuwa wajinga sana mbele ya watanzania, wamekuwa wakikopi kila kitu from Tanzania kuanzia life style mpk jinsi ya kuongea na misemo yote ya kitanzania wanaiga, alafu wanaenda kusema ni yao.
Duh haya
 
Henan Flaps Wings for Global Aviation Simulator Edge​

Source: China Daily | 2022-06-19 16:20
b2f1d7872ec68d0d5e2798bb4150f60f

A B737-800 aviation simulator is displayed at an industrial park of Henan Civil Aviation Development and Investment Co Ltd in Zhengzhou, Henan province. [Photo/China Daily]

A brand new set of B737-800 aviation simulation equipment rolled off the final assembly line in Zhengzhou, Henan province this week, and the equipment was then transported to Tanzania, indicating China's first export of large-scale aviation simulators.

Completed at the aviation manufacturing industrial park of Henan Civil Aviation Development and Investment Co Ltd, the simulators are for the National Institute of Transport of Tanzania to help train professionals for the local transportation sector.

Xi'an Feiyu Aviation Simulation Technology Co Ltd, an aviation simulator manufacturer settled in the industrial park, has been responsible for the manufacturing of the equipment and delivered the set of cabin training equipment of the B737-800 which is worth nearly 50 million yuan ($7.5 million).

The set includes a dynamic training cabin, an emergency evacuation training cabin, a firefighting training cabin, an aquatic trainer and a hatch trainer. It is estimated that about 3,000 people can be trained and retrained annually with the equipment.

"Last year, Henan Civil Aviation Development and Investment increased its investment in Xi'an Feiyu, which has been providing strong support to the development of the company. We are glad to see that the equipment was exported from Henan," said Hu Zhigang, general manager of Xi'an Feiyu.

In the latter half of this year, Feiyu said it plans to send technical staff members to Tanzania to install and debug the simulation equipment. Tanzania is a country involved in the China-proposed Belt and Road Initiative.

Mbelwa Kairuki, Tanzanian ambassador to China, said the movement serves as a true portrayal of China-Africa friendly exchanges and sincere cooperation.

The aviation industrial park in Henan, which began construction in February, has seen the first phase of factories complete construction in four months. With an investment of 1 billion yuan, the first phase of plants can manufacture more than 50 sets of simulators annually, including cabin simulators, firefighting simulators and cabin service training simulators.

The plants will also be able to manufacture five to eight aircraft maintenance simulators and 10 to 13 sets of trainers annually. The annual output value of the first-phase project is expected to reach 2.5 billion yuan. The second phase of plants requires an investment of another 1 billion yuan, according to Henan Civil Aviation Development and Investment.

From 2018 to 2021, China mainly exported spare parts for aircraft, automatic adjustment and control instruments and equipment, and the export of large-scale aviation simulation equipment shows significant growth potential, according to the General Administration of Customs.

The brand influence of the Henan aviation manufacturing sector is expected to grow continuously. In the future, more aviation simulation equipment manufactured in Henan is expected to be exported, and more foreign pilots and flight assistants will learn related professional skills with the equipment, said Henan Civil Aviation Development and Investment.

"We will focus on growing the business in the aviation industry, strengthening cooperation and exchanges in research and development with other industry players, and striving to build ourselves into a leading aviation service provider," said Zhang Mingchao, president of Henan Civil Aviation Development and Investment.

Cc KENPAULITE Nenda kalilie twitter sasa, tunasubiri wanafunzi kutoka nchi zote za Afrika
 
Flight simulators are very expensive cost almost as much as a real aircraft, Geza anasema mkona tatu wacha alete evidence you have so far KQ ikona moja, but pilots wa Kq huenda Ethiopia and singapore for 737,767,777 ratingsView attachment 2268687
Achana na, hizo mega simulators 3 kuna brand new college biggest in the region inajengwa for aviation field only, kwa hiyo andaa machozi tu!

Screenshot_20220622-123331.png
 
KQ iko na moja ipi onesha hiyo moja, ni aina gani? Alafu co kwa sababu nyie hamna ndiyo na cc tusiwe nayo. Unaposema gharama una maanisha nini? Kwamba ni gharama kuliko kujenga SGR? Kwamba ni gharama kuliko kujenga JNHPP? Au kwamba ni gharama kuliko kununua real aircraft? Na kama sivyo kwnn tushindwe kununua mpk ukafikia hatua ya kusema NIT can never.....

Wewe unajua lengo la kujenga NIT? Wacha wivu vipaumbele hatufanani, nyinyi kipaumbele chenu ni xpress way but cc vipaumbele vyetu ndiyo kama hivyo kuwa na hub centers in Africa like NIT.

MSIFOSI TUFANANE
Ndio akili za Mikunya zilivyo, kisa wao limewashinda wanafikiri haliwezekani kwa wote
 
Bongolala, stop being desperate. Why didn't you zoom the same pic I posted? Mbona ukachagua picha nyingine? To help lick your wounds?

Listen, Nairobi has slums but in very specific areas like you saw in that Kibera picture I shared. View attachment 2268655Areas surrounding those slums are well kept and organized, which is a sharp contrast to Dar where Uswazi hovels are almost everywhere you look. Your city is ugly and disgusting coz there's no form of organization/planning.

Lastly, the images you are sweating so much to zoom in are still way worse than most of the areas you occasionally post here as slums.

These are zoomed in images of Githurai which you usually call a slum
View attachment 2268635View attachment 2268641

View attachment 2268642
And this is Mburahati middle-class area that you zoomed in
View attachment 2268654
Githurai is clearly well planned with straight roads which are clearly visible na nyumba pia ziko kwa laini moja. Is this the same case with Mburahati? Ni wapi uliona slum ambayo imepangwa?
mm nimezoom sehemu wanaita slum niakakuta huu ushuzi sasa 🤣🤣👇👇 unaeza jionea tofaut kwann mzungu awe na akili kuliko wewe
B1DB3920-A150-43FE-817B-76453B264E1D.png
 
KQ iko na moja ipi onesha hiyo moja, ni aina gani? Alafu co kwa sababu nyie hamna ndiyo na cc tusiwe nayo. Unaposema gharama una maanisha nini? Kwamba ni gharama kuliko kujenga SGR? Kwamba ni gharama kuliko kujenga JNHPP? Au kwamba ni gharama kuliko kununua real aircraft? Na kama sivyo kwnn tushindwe kununua mpk ukafikia hatua ya kusema NIT can never.....

Wewe unajua lengo la kujenga NIT? Wacha wivu vipaumbele hatufanani, nyinyi kipaumbele chenu ni xpress way but cc vipaumbele vyetu ndiyo kama hivyo kuwa na hub centers in Africa like NIT.

MSIFOSI TUFANANE
Ndio hio flight simulator ya KQ for Dash-8type ratings,wivu ya nini,i told you a flight simulator ya ratings , ni costly to buy maintain and operate, for a country like SA would make sense because they have serious flight schools
20220622_101705.jpg
 
Nimewatch video zote mbili and this is my honest opinion: In matters posh residential areas bado mpo nyuma sana. Najua itasound ni uzalendo but that's the truth.

In that video, I could clearly see nyumba za gebo with ordinary mabati za white juu. Zingine hata zimeliwa hadi na kutu! That's not how a posh neighborhood should look like. Huo mtaa hata Milimani Estate Nakuru ipo juu View attachment 2268663View attachment 2268664View attachment 2268665View attachment 2268667View attachment 2268668View attachment 2268670View attachment 2268671
so mwanza inashindana na mombasa + nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke
 
Back
Top Bottom