Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hio flight simulator ya KQ for Dash-8type ratings,wivu ya nini,i told you a flight simulator ya ratings , ni costly to buy maintain and operate, for a country like SA would make sense because they have serious flight schoolsView attachment 2268727
Sioni simulator hapo mm au hilo dude la nyuma ndiyo flight simulator? Btw now umekubali kwamba Tz tunayo na inakuja flight simulator b737?
 
Watu hamtakiwi na mnaletewa kila aina ya karaha lkn bado mnakuja tu, basi mvumilie mateso mnayoyapata na niwaambie tu Wakunya ni kwamba Watz wengi wameshaona wakunya ni washenzi na huu mkasa wa maasai ndio umezidi kuharibu so kifuatacho ni mateso zaidi kwa Wakunya ndani ya Tz.
Wengi wanajiuliza kwanini mama hajaenda kwenye mkutano wa juzi na wala akutuma pm wala vp akaenda balozi 😀
 
Mbona lipo kama tunguli halina sura [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nauliza hapa hilo dude la nyuma ndiyo flight simulator? Ukiona mkunya analeta mambo kwa kuficha ficha kama hivyo juwa kuna kauwongo ndani yake, hebu twende naye taratibu tutajua ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yes, not for pilots, flight simulator ya pilots simulates a real aircraft with real world sceneries and airports,
Umeanza wivu saaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]

Mkuu hii Tz ni zaidi ya mlivyokuwa mnadhani au kuhadithiwa, hii nchi ikitaka kitu huwa haishindwi, hii ni nchi kubwa sn kwa hapa EA, tunasubiri wateja kutoka Afrika nzima sasa tuwafundishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sioni simulator hapo mm au hilo dude la nyuma ndiyo flight simulator? Btw now umekubali kwamba Tz tunayo na inakuja flight simulator b737?
Ngoja nikueleweshe, ukimaliza flight school that is ppl, cpl and multi rating for you to be able to fly any aircraft lazima uwe na minimum rating za that type of aircraft, kwa mfano 737-300 lazima uende shule ikona that flight simulator and learn to fly it for a number of hours, sasa hilo lidude hapo nyuma ndio yo use it to get those ratings, lets say unatoka from 737 to 767 lazima pia uingie kwa flight simulator to get the ratings, you cant touch an aircraft without having its rating hata kama ukona 20,000 hrs kwa one particular aircraft.i hope umeelewa, na mnilipe for free schooling[emoji1787]
 
Kwamba unakaa nje unaliangalia hilo dude tayari una ratings [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashashola picha zako wanajifanya hawazioni, leo umeamua kuingia groundy
Mi nko ground msee. Nashangaa wadanganyika wanatamani kuja Nairobi hadi wanatuma picha fake ndo waonekane wako kanairo..nacheka tu [emoji23][emoji23]
IMG_20220606_095108.jpg
 
Egypt new mansoura City [emoji116]. Egypt new Alamein city [emoji116]. Cairo new administrative City [emoji116]. Huu mji utakua na 40,000 hotel rooms, 1250 mosques and churches, 90k seat stadium, 90 sq km of solar energy farm, 663 hospitals, 2,000 schools, International airport, tech and innovation Park, electric railway to link Cairo and more .. [emoji116]. Hizi level kwakweli hapana
Hizi levels ni nyingine kwa Afrika hata baadhi ya nchi za Europe na kule Far East. Wako vizuri sana hawa Egyptians.
 
Back
Top Bottom