CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,868
- 16,005
Huu ubishi wa Kitoto sana, kila siku mnabishana kijinga hapa. Nimefika Majiji yote,
Nairobi ni Pazuri kuliko Dar karibu kwa kila Nyanja, Miundombinu, Hali ya hewa, Mpangilio wa Majengo nk.
Dar imejengeka only Ilala, tena Posta sehemu zingine zina Mashrooming storey. Yaan unakuta ghorofa hapa, unatembea kipande kirefu unakuta lingine.
Nairobi haiko hivyo, na most of you guys hamjafika miji hiyo miwili ili mjionee utofauti huo.