Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do we have a drive through restaurant in Nairobi or is this the first one in Kenya? USA zimejaa lakini Kenya I am not sure whether ziko. But this is a good sign of progress.
Drive through Ziko mingi Nairobi, wewe Tony wacha ushamba.🤣🤣🤣🤣

KFC Kenya on Twitter: PSA 🔊 KFC Langata Drive Thru is now open🎉🎊! Drop  what you are doing and drive through to order your favourite KFC meal. Tag  the squad and let


Image
 
Kwa nini Malazy wa South hawaja-invest kwa geothermal power?
Umeme wa geothermal ni umeme mzuri sana kwa sababu upo constant kila wakati. Wakati wa usiku hakuna solar power, wakati hakuna upepo hakuna windpower, wakati wa kiangazi hydropower inapungua ila geothermal haipungui kwa lolote lile. Yaani lipo constant bila mchezo. Availability ya geothermal power ipo very high 24-7-365.
Upembuzi yakinifu umeanza sehemu za Mbeya ewe Mungiki.
Very soon project ita take over
 
Eti hawa ndio Champions wenu. Walipigwa na Kariobangi Sharks kama burukenge in front of your fans.



Image
Tambe Ndio nani? Kwenye suala la soka kwa ss upande wa vilabu sina haja ya kuongelea Kenya, Tz kwa ss tunaongelea ligi kubwa kama champions league, usitegemee bingwa wa Tanzania akaja kucheza ligi za kipumbavu mshindi anapewa milioni 10 alafu aweke kikosi kizima, nyinyi kama mna makende pelekeni timu zenu champions na mjitahidi mfike makundi alafu mkutane na ma giants wa Tz muone. By the way Tz inapeleka timu 4 mashindano makubwa, nyie mnapeleka ngp
 
Kwa ajili ya matajiri wachache na wanasiasa but majolity of Kunyans including you hamli kuku.
Fast food restaurants ni mingi sana Nairobi na kama zote wanauza chips na kuku. Dar haiwezi karibia Nairobi kwa number of fast foods, nyinyi munakula zile kuku mwitu za kuchomwa kwa streets kama Mombasa, Nairobi hizo kuku mwitu ni popular sana kwa low income areas. Middle class suburbs fast food restaurants ndio mingi.
 
Back
Top Bottom