Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_16550243685036987.jpg
 
Update: Mradi JPM aliwapa manispaa badala ya TAA kujenga


MY TAKE
What pisses me off the money injected can not be accounted for!
 
dyfre kuna siku niliweka picture ya Arusha with mist kind of nature ukasema that's a Kenyan thing 😄

Haya hii hapa Mbeya


Oo..ooooo.. nilidhani bongo kila mahali ni very hot and humid..🤔🤔 coz habari zote nilizopata toka kwa baadhi ya wakenya walio kuzuru bongo, wote wali reporti kua bongo kujoto aisee🥵🥵 kila mahali, sawa tu kama vile india..
 
Wale wa SGR inaingiaje port..mnaona..
Hivi mlitegemea SGR isiingie bandariniView attachment 2265680View attachment 2265681
Ila hii ni diversion ya MGR, SGR itapita upande wa keko, BP kutokea Ilala Shaurimoyo kuja kuunga hapo kwenye mabehewa! I hope itapita underpass/overpass pale inapokatiza Sokoine avenue karibu na NSSF Seafront! IMHO kunahitajika viaduct ya MGR kama ya SGR toka Bakhresa!
 
blackouts zimehappen only mwanzoni mwa year.. kipindi cha ukame cause hydro bado tunategemea ..we dont have constant blackouts ..the supply is greater than demand
What's your peak demand?
 
Oo..ooooo.. nilidhani bongo kila mahali ni very hot and humid..🤔🤔 coz habari zote nilizopata toka kwa wakenya wote waliozuru bongo, wali reporti kua bongo kujoto sana🥵🥵 kila mahali, sawa tu kama vile india..
Geita ina ndinga kali nyingi kuliko Nairobi, right or wrong?

Harusi ya mchimbaji wa dhahabu Geita

 
Back
Top Bottom