Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa kisenge sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Weka hizo picha nikuulize maswali, nikuanike.
 
Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa kisenge sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa kisenge sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Maji yanatoka?
 
Government city Dodoma, jana jioni.
Pazuri mnoo.
IMG_2249.jpg

Humo ukiingia na gari lazima upotee, ila wakimaliza ujenzi wataweka vibao kuondoa hii kusahau njia.
Ujenzi wa majengo ya serikali unasimamiwa na JKT, nimependa sana hii.
Karibu asilimia 100 ya mafundi humo ni Watanzania tena wadogo wadogo tu.
 
Nchi ya one sport

Sisi tukihesabu za Athletics,volleyball,netball,kibadi, rugby and football leagues unadhani mtafikia ata 30%!!!
Leta fedha league ya ruby (kama ipo) washindi wanalipwa! I can assure u less than what ur football league got paid i.e. Tshs 18 mln!

Just like I said..around Tshs 1.8 mln as prize money!
Screenshot_2022-06-19-09-54-34.png

Pretty sure uki-combain league zote Kunyaland hupati kiasi TPL inagawa as prize money.
 
The game changer I am referring to is the energy used to power the next industrial revolution, usiwe fala bana.
Hivi unajua maana ya "game changer?", Sasa eleza hiyo Lithium itawezaje kusababisha hiyo "game changer" katika hiyo sector husika?. Huna akili hujui lolote zaidi ya kuokoteza maneno na kuyatumia bila kujua unalotaka kulisema

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Government city Dodoma, jana jioni.
Pazuri mnoo.View attachment 2265527
Humo ukiingia na gari lazima upotee, ila wakimaliza ujenzi wataweka vibao kuondoa hii kusahau njia.
Ujenzi wa majengo ya serikali unasimamiwa na JKT, nimependa sana hii.
Karibu asilimia 100 ya mafundi humo ni Watanzania tena wadogo wadogo tu.
Wengi wanapotea mpaka leo, nimeshasimamishwa na magari sijui idadi yake wakiniomba directions kwenda kwenye wizara tofauti tofauti kipindi nipo huko, wasimamizi wanatakiwa waweke directions za kila wizara.
 
I think it may be because Zimbabwe is going through an economic crisis right now and the Zimbabwean govt may not have the resources to help this genius. Anyway I am not suprised that he ended up in the US. The US also poached the most brilliant European scientists after WW2. They poached Albert Einstein and other geniuses. The US is good at poaching talents everywhere in the world regardless of which country you come from.
How is it possible to convert radio frequencies to energy, his invention ni mind blowing, tesla should poach him
 
Hivi unajua maana ya "game changer?", Sasa eleza hiyo Lithium itawezaje kusababisha hiyo "game changer" katika hiyo sector husika?. Huna akili hujui lolote zaidi ya kuokoteza maneno na kuyatumia bila kujua unalotaka kulisema

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama hujui umuhimu wa lithium kwa dunia ya sahii, hio ni shauri yako, mimi siwezi kukusaidia.
 
Hivi unajua maana ya "game changer?", Sasa eleza hiyo Lithium itawezaje kusababisha hiyo "game changer" katika hiyo sector husika?. Huna akili hujui lolote zaidi ya kuokoteza maneno na kuyatumia bila kujua unalotaka kulisema

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe kama hujui umuhimu wa Lithium unastahili kucharazwa viboko.
 
Nchi ya one sport

Sisi tukihesabu za Athletics,volleyball,netball,kibadi, rugby and football leagues unadhani mtafikia ata 30%!!!
Usisahau Golf which is one of the sports with the highest prize money per individual.
 
Back
Top Bottom