Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Masai village, Msomera
Mama apambane british airways irudishe ndege zake TZ hawa waingereza wasipitie kunyalandTimu zote kubwa duniani zinaanza kugombea nafasi ya kukwea kileleni mwa mt Kilimanjaro, great move.
Sasa ukienda restaurant za bei ya chini utalaumu nani[emoji23][emoji23] jaribu CJ's, Charlies, Kilimanjaro wacha ushamba banaWewevacha ufaller tupo Nairobi kila mara, kwanza restaurants zenu hamjua hata mapishi.
Ukiagiza supu ya kuku unaletewa maji...hamjui lolote kuhusu mapishi
Nimeongelea kwa ujumla we kenghe majiSasa ukienda restaurant za bei ya chini utalaumu nani[emoji23][emoji23] jaribu CJ's, Charlies, Kilimanjaro wacha ushamba bana
Tutapeleka sisi ndege yetu haina shida.Mama apambane british airways irudishe ndege zake TZ hawa waingereza wasipitie kunyaland
Kenge mwenza beba chakula ama ukuje umeshiba[emoji23]Nimeongelea kwa ujumla we kenghe maji
Kwa kweli.Kenge mwenza beba chakula ama ukuje umeshiba[emoji23]
Hawa masai warriors, mbona wanabwekea mbali?
Sio Air Tanzania iende London?Mama apambane british airways irudishe ndege zake TZ hawa waingereza wasipitie kunyaland